Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. PINDA AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI LEO

Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 10, 2013. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AAGANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na balozi wa Israel nchini, Gil Haskel na mkewe Dalit Haskel (kulia) Julai 17, 2014 ambao walikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda aagana na Balozi wa Israel nchini

PG4A5222

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa Israel nchini,  Gil Haskel na mkewe  Dalit Haskel (kulia)  Julai 17, 2014 ambao walikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).  PG4A5232

 

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akutana na balozi a Israel nchini

Serikali ya Israel imekusudia kuunga mkono harakati za Kiuchumi na Maendeleo ya Zanzibar ili kuona ustawi wa maisha ya Wananchi wa Zanzibar katika dhana nzima ya kukabiliana na ukali wa maisha na kupunguza umaskini inafanikiwa.  Kauli hiyo imetolewa na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Bwana Gil Haskeli aliyefika nyumbani kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Bara bara ya Haile Selassie Jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuimarisha uhusiano kati ya pande hizo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na Balozi Marekani nchini

PG4A5248

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  balozi wa Marekani Nchini, Mhe. Mark Childress   kablaya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam  Julai 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5253

PG4A5255

 

9 years ago

Vijimambo

PINDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 23, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege kabla ya mazunguzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 23, 2015

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo,Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini,Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Mh.Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo.(picha na Freddy Maro).

 

9 years ago

Michuzi

Mhe PINDA AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI MAMA VICTORIA MWAKASEGE

 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimkaribisha na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe Victoria Mwakasege, ofisini kwake jijini Dar es salaam. Balozi huyo ambaye ameteuliwa hivi karibuni, anaenda kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Patrick Tsere aliyemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria. Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege kabla ya mazunguzo yao ofisini kwake  jijini Dar es salaam Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akiwa katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Akutana na Balozi wa Msumbiji Nchini,Dkt. Vicente Mebunia

post-feature-imageWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa msumbiji nchini,Dkt. Vicente Mebunia ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2015 kuaga.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani