Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda akutana na Balozi Marekani nchini

PG4A5248

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  balozi wa Marekani Nchini, Mhe. Mark Childress   kablaya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam  Julai 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5253

PG4A5255

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje akutana na Balozi wa Marekani nchini

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisisitiza jambo wakati akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress...

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI LEO

Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 10, 2013. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Israel nchini, Mhe. Gil Haskel, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Michuzi

MH. MAKALLA AKUTANA NA BALOZI MULAMULA NCHINI MAREKANI

Naibu Waziri wa Maji,Mhe. Amos Makalla (kulia) akiwa na Balozi wa Tanzania Nchini Marekani,Mh. Balozi Liberata Mulamula wakati alipomtembelea Ubalozini hapo.

 

9 years ago

Vijimambo

PINDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 23, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege kabla ya mazunguzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 23, 2015

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini akutana na Balozi wa Marekani nchini

Na Teresia Mhagama
Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress na Ujumbe wake, wamekutana na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachewene, katika makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.
Viongozi hao walikutana ili kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo miradi ya umeme inayofadhiliwa na Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC), mradi mkubwa wa umeme unaofadhiliwa na nchi ya Marekani ujulikanao kama Umeme Afrika (Power Africa) pamoja na suala la kuwajengea...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Waziri  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Mhe. Mark Childress alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani na kukumbuka Wahanga wa tukio la kigaidi lililotokea Marekani miaka 13 iliyopita (September 11). Mazungumzo yao yalifanyika tarehe 11 Septemba 2014.Mhe. Membe akimweleza jambo Balozi Childress wakati wa mazungumzo yao.

 

9 years ago

Michuzi

Mhe PINDA AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI MAMA VICTORIA MWAKASEGE

 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akimkaribisha na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe Victoria Mwakasege, ofisini kwake jijini Dar es salaam. Balozi huyo ambaye ameteuliwa hivi karibuni, anaenda kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Patrick Tsere aliyemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria. Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege kabla ya mazunguzo yao ofisini kwake  jijini Dar es salaam Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akiwa katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Akutana na Balozi wa Msumbiji Nchini,Dkt. Vicente Mebunia

post-feature-imageWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa msumbiji nchini,Dkt. Vicente Mebunia ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2015 kuaga.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani