MHANDISI MSOMI AIBUKA KINARA SHINDANO LA MISS UTALII DAR ES SALAAM 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-1im0Za6S3pE/Xky3KcFiL9I/AAAAAAALeHk/3uh51BUf8_sRko32kQX56JyanTRtiAM_gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200216-WA0037.jpg)
Matunda ya muundo mpya wa uongozi na shindano, pia kanuni na taratibu mpya za shindano la Miss Utalii Tanzania, uliopitishwa na serikali kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) yameanza kuonekana, kwa wasomi kutoka katika vyuo vikuu mbalimbali na wahitimu wa vyuo mbalimbali kujitokeza kuwania mataji katika ngazi mbalimbali za shindano hilo. Katika udahili (Auditions) ya kupata washindi wa Miss Utalii Dar Es Salaam na wilaya zake mwaka 2020,watakao wakilisha mkoa wa Dar Es Salaam ,katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
Mwanaafa Mwinzago aibuka Kinara wa shindano la TMT 2014 na kuondoka na kitita cha shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV.
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na...
10 years ago
MichuziMWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eTodht7kopU/XliY8ts1x3I/AAAAAAALfxg/nYr0_OPoOhwkH8YqYERRmT8TIgC-kqElQCLcBGAsYHQ/s72-c/4fa9d1d1-f6bb-4ef3-b061-e911ca3b1bcb.jpg)
MWANADIPLOMASIA ASHINDA TAJI LA MISS UTALII PWANI 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-eTodht7kopU/XliY8ts1x3I/AAAAAAALfxg/nYr0_OPoOhwkH8YqYERRmT8TIgC-kqElQCLcBGAsYHQ/s640/4fa9d1d1-f6bb-4ef3-b061-e911ca3b1bcb.jpg)
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Dar es Salaam kinara kesi za kugombea ardhi
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--NiBtr1OtG0/Vou5wGw3llI/AAAAAAAIQlY/8uy_HzjrUsc/s72-c/New%2BPicture.png)
MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA DAR ES SALAAM (DART).
![](http://3.bp.blogspot.com/--NiBtr1OtG0/Vou5wGw3llI/AAAAAAAIQlY/8uy_HzjrUsc/s1600/New%2BPicture.png)
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
![VOTE FOR MISS TANZANIA-MISS WORLD](http://bomalog.com/wp-content/uploads/2014/11/tz.jpg)
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s72-c/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
WATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014â€â€Ž
![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s1600/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.
Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Tigo yadhamini shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana jijini Dar es Salaam
Meneja wa Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana kupitia mradi wa ‘Apps & Girls’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
Mwanzilishi wa Apps & Girls Bi. Carolyne Ekyamsiima akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana. Mradi huu upo...