MHE MWIGULU MCHEMBA ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE LA PAMOJA LA AFRIKA, KARIBIANI, PACIFIC NA JUMUIYA YA ULAYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-FcbaY79b30g/UyiBffs1N6I/AAAAAAAFUps/gNuqA4XTR1s/s72-c/unnamed.jpg)
Naibu Waziri wa Fedha Mhe Mwigulu Mchemba akifuatilia (kulia) kwa karibu kikao cha Bunge la Pamoja la Afrika, Karibiani, Pacific na Jumuiya ya Ulaya kinachoendelea Strasbourg Ufaransa. Mhe. Mchemba anawakilisha Baraza la Mawaziri la Afrika, Karibiani na Pacific katika kikao hiki. Pamoja na mambo mengine, kesho atalihutubia Bunge na kujibu maswali ya Wabunge. Kulia ni Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMHE. MCHEMBA AJIBU MASWALI KATIKA KIKAO CHA BUNGE LA PAMOJA LA ACP NA JUMUIYA YA ULAYA
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OEbkPEOePys/Ux3xq1AOsEI/AAAAAAAFSw4/W9GIisMtxDE/s72-c/unnamed+(44).jpg)
KAMATI ZA TROIKA ZA MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI, PACIFIC NA JUMUIYA YA ULAYA ZAKUTANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-OEbkPEOePys/Ux3xq1AOsEI/AAAAAAAFSw4/W9GIisMtxDE/s1600/unnamed+(44).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ran-lJmAYs4/Uw8aM4sYiPI/AAAAAAAFP9c/dUx2LH8OZ24/s72-c/unnamed+(53).jpg)
MHE OLUSEGUN OBASANJO AONGOZA KIKAO KAMATI YA WATU MASHUHURI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIC (ACP)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ran-lJmAYs4/Uw8aM4sYiPI/AAAAAAAFP9c/dUx2LH8OZ24/s1600/unnamed+(53).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xhHstm8eZ1Q/U6AqULaGv5I/AAAAAAAFrO4/EkEHX91awJE/s72-c/unnamed+(48).jpg)
kikao cha Baraza la Mawaziri la Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) jijini nairobi
![](http://4.bp.blogspot.com/-xhHstm8eZ1Q/U6AqULaGv5I/AAAAAAAFrO4/EkEHX91awJE/s1600/unnamed+(48).jpg)
Mhe. Dr. Abdalah Kigoda (wa nne kutoka kushoto) akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri wa nchi za ACP. Kikao hicho kimeanza leo Nairobi, Kenya.
![](http://1.bp.blogspot.com/-LO17u84zZkM/U6AqnHyxmcI/AAAAAAAFrPA/lYi7fQeuZVU/s1600/unnamed+(49).jpg)
>
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ABAINISHA MTAZAMO MPYA WA USHIRIKIANO KATI YA AFRIKA, KARIBIANI, PASIFIKI NA JUMUIYA YA ULAYA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Zsgb2Ev9iP0/VSU--b8arTI/AAAAAAAHPoc/zY44UeI_awI/s72-c/unnamed%2B(60).jpg)
KATIBU MKUU WA SEKRETARIETI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIC AKUTANA NA BALOZI KAMALA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Zsgb2Ev9iP0/VSU--b8arTI/AAAAAAAHPoc/zY44UeI_awI/s1600/unnamed%2B(60).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-l2Y2ecXzGm0/UuuVjzVrL1I/AAAAAAAFJ6E/lEPF4fG6LR8/s72-c/unnamed+(11).jpg)
BALOZI KAMALA AKABIDHIWA UENYEKITI WA KAMATI YA MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIC (ACP)
![](http://2.bp.blogspot.com/-l2Y2ecXzGm0/UuuVjzVrL1I/AAAAAAAFJ6E/lEPF4fG6LR8/s1600/unnamed+(11).jpg)
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MABALOZI WA NCHI ZA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP)
10 years ago
Michuzi16 Mar
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania