Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. SAMIA SULUHU MGENI RASMI UZINDUZI WA NJIA MPYA ZA SHIRIKA LA NDEGE LA FLYDUBAI JIJINI DAR LEO

Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu akizungumza mapema leo katika uzinduzi wa njia mbili mpya za ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800,uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar. Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh.Samia Suluhu mgeni rasmi uzinduzi wa njia mpya za shirika la ndege la Flydubai jijini Dar leo.


Wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo wa njia mpya ya shirika la ndege la Flydubai lenye makao yake makuu Dubai..Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu akizungumza mapema leo katika uzinduzi wa njia mbili mpya za ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800,uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar.Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai...

 

9 years ago

Michuzi

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi ufunguzi michezo ya shimmuta Arusha



Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan

Na Woinde Shizza,Arusha
Michuano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA), yanatarajia kuanza kutimua vumbi wiki ijayo jijini Arusha kwa kushirikisha Mikoa Yote Tanzania.

Katibu mkuu wa SHIMMUTA Award Safari alisema kuwa hadi sasa tayari mikoa kadhaa imethibitisha ushiriki wao ikiwemo wenyeji wa mashindano hayo Mkoa wa Arusha na Mikoa mingine ni Dar es salaam, Dodoma, Morogoro, Mbeya na Tanga. ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua maadhimisho ya Nane ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, Jijini Dar Leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipunga mkono kupokea maandamano ya wananchi kwenye Viwanja vya Karimjee katika Maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Dec 10, 2015. (Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame...

 

10 years ago

Michuzi

shirika la ndege la flydubai lakaribishwa rasmi visiwani Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba mafungamano yaliyopo ya Kibiashara baina ya Zanzibar na Mataifa ya Ghuba na Mashariki ya mbali yatazidi kuimarika kufuatia kuongezeka kwa mawasiliano ya safari za anga kati ya pande hizo mbili. Balozi Seif alisema hayo wakati akizindua safari za anga kati ya Dubai na Zanzibar zilizoanzishwa rasmi na Kampuni ya Kimataifa ya usafiri wa ndege ya Flydubai hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt John Pombe Magufuli na Mhe. Samia Suluhu Hassan watua Dar leo, wapokewa kwa shangwe

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiongea na wanahabari mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana huu wakitokea Dodoma na kupokelewa kwa shangwe na umati wa makada wa CCM. 

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum) uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Tovuti ya Mhe. Stephen Wasira jijini Dar es salaam leo

Mhe. Stephen Wasira amezindua tovuti itasaidia umma kupata taarifa zinazohusu shughuli za maendeleo na changamoto katika jimbo la Bunda na nyinginezo.  Taarifa hizi zinapatikana kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Unaweza kuzipata kulingana na kifaa (device) ukitumiacho kama desktop/laptop computer (PC), tablet na simu za mkononi. Mbunge wa Serengeti Mhe. Dr. Kebwe alikuwepo pia.  Tovuti inapatikana:  www.stephenwasira.co.tz Muonekano wa tovuti ya Mhe Stephen Wasira wakati wa...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015

Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati wa uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema na Mwenyekiti, Fredy Kaula.Mwenyekiti wa Shirika hilo, Fredy Kaula (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi huo. Ofisa Miradi wa Shirika hilo, Rojas Rwanda (kushoto), akisalimia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani