Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. SHY ROSE BHANJI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mbweni Dar es Salaam.   Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki...  Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Ester Bulaya (kushoto) na Mhe. Halima Mdee...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Shy Rose Bhanji asherehekea siku yake ya kuzaliwa

Untitled 1

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam. (Photos by: MD Digital Company +255 755 373999).

Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki…

Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester...

 

10 years ago

Dewji Blog

Leo Mei 3 ni siku ya kuzaliwa mdau Mh.Shy rose Bhanji, hongera sana

IMG-20140504-WA0009Mh. Shy rose Bhanji  ambaye leo Mei 3, ametimiza miaka kadhaa. Happy Birthday  Shy rose.

Na Andrew Chale, Modewji blog

Leo ni siku muhimu kwa mdau mkubwa wa Mo blog,  Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shy Rose Bhanji  ambaye ametimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2015.

Mtandao  huu wa Modewji blog unamtakia kila lakheri katika haarakaati zake mbalimbali za ujenzi wa Taifa na Dunia kwa ujumla. Hongera sana ‘Happy Birthday’  ‘Happy Birthday Shy rose.

11193429_836337136403159_7495161636993222906_nMy birthday wish...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. SHY ROSE BHANJI AJITOLEA KUCHONGA BARABARA YA MBWENI - MALINDI

 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Mhe. Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa barabara yao leo.  Mbunge wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akielekeza jambo kwa mkandarasi. Barabara ya Mbweni-Malindi inavyonekana baada ya kuanza kufanyiwa ukarabati.

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. SHY-ROSE BHANJI AKANUSHA HABARI ZILIZO ZAGAA MTANDAONI NA KUDAI NI MBINU ZA KUMCHAFUA.

Wiki hii imekuwa ngumu sana kwa Mhe. Shy-Rose Bhanji baada ya habari kuzagaa mtandaoni na kudai kwamba alilewa sana na kuanza kufanya mambo ya ajabu hadi Bunge analo tumikia kuahirishwa. Baada ya shtuma hizo mbunge huyo ameamua kufunguka kupitia ukurasa wake wa Facebook na kukanusha habari hizo kwa ujumbe ufuatao.
Mimi Shy-Rose Bhanji, Mbunge wa Afrika Mashariki-Tanzania, ninapinga vikali na kwa nguvu zote shutuma zilizotolewa dhidi yangu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.Shutuma hizi...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa furaha kwa staa wa Filamu Bongo, Rose Ndauka, kwani aliweza kusheherekea siku yake ya kuzaliwa na baadhi ya mastaa wenzake waliyofurika ndani ya Hoteli ya Collossium iliyopo maeneo ya Kamata Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam. Rose Ndauka (kushoto), akimlisha kipande cha keki rafiki yake mpendwa Jack Pentzel, muda mfupi baada ya zoezi la kulishana keki kuanza kwenye… ...

 

11 years ago

GPL

H.BABA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki. Florah Mvungi akiwa na mtoto wake Tanzanite. H.Baba akimlisha keki mama yake. Mke wake H.Baba, Florah Mvungi  akiwa…

 

9 years ago

Michuzi

JK ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WAJUKUU

KekiWajukuu wakimchukua babu wakamwimbie na kukata naye kekiMjukuu akiogoza wajukuu wenzie kumwimbia babuWajukuu wakimwimbia babu...Happy Birthday to youuuuu...Babu akikata keki huku wajukuu wakiisubiri kwa hamu.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


 

10 years ago

GPL

NASRA WA GLOBAL ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Msanifu Kurasa Mkuu wa Global Publishers, Nasra Nassor (kulia) akikata keki ya kuzaliwa kwake. Keki ya siku ya kuzaliwa ya Nasra. Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers, Oscar Ndauka akilishwa keki.…

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA AKIWA NA WAJUKUU

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya sherehe za miaka 65 ya kuzaliwa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete na miaka 55 ya kuzaliwa mdogo wake Yusufu Mrisho Kikwete jana jioni jijini Dar es salaam. Rais Kikwete na mdogo wake walisherehekea siku zao za kuzaliwa kwa kukata na kula keki na wajukuu wao na wa jamaa, ndugu na marafiki waliowaalikwa kwenye sherehe hii fupi iliyojaa furaha na bashasha.Keki
Wajukuu wakimchukua babu wakamwimbie na kukata naye kekiMjukuu akiogoza wajukuu wenzie kumwimbia babuWajukuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani