Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE SIMAI MOHAMED SAID AHAMASISHA WAZAZI KUSOMESHA WATOTO NYUMBANI WAKATI HUU WA KORONA

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said amewaomba Wazazi na Walezi kushiriki kikamilifu katika kuwasaidia watoto kuwasomesha wakiwa nyumbani kwao hasa katika wakati huu wa mlipuko wa maradhi ya Korona.
Akizungumza wakati alipozindua picha maalum inayohamasisha Wazazi kuwasomesha watoto, huko katika jengo la Wizara hiyo Mazizini Mjini Unguja, Mhe Simai amesema pamoja na kuwa  wazazi wanatoka kwenda katika shughuli zao za kila siku, lakini bado wana jukumu la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Simai Mohamed Said akanusha kwamba amehama CCM

11202848_902566486485912_7993312180007697476_nPichani ni Ndugu Simai Mohammed Said katika moja ya mikutano yake  ya Kichama kama alivyoweka kupitia ukurasa wake wa facebook mapema jana baada ya taarifa za uzushi dhidi yake zilizokuwa zikitolewa na watu wasiomtakia mema.

Kada wa Chama cha Mapinduzi Visiwani Zanzibar, Simai Mohammed Said, ambaye anatarajia kugombea nafasi ya Uwakili wa jimbo la Tunguu  amekanusha vikali taarifa zilizokuwa zinasambazwa kuwa amekihama chama hicho.

Kupitia ukurasa wake huo, Simai aliweka sawa na kuwataka...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

10 years ago

GPL

MHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO

Mh. James Mbatia akifanya sala mbele ya Makaburi ya Wazazi wake alipotembelea nyumbani kwao.…

 

10 years ago

Michuzi

MHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Mbunge wa Kuteuliwa Mhe.  James Mbatia akiwa na viongozi wa Chama hicho  mkoa wa Kilimanjaro wakati alipotembelea eneo hilo.Mh James Mbatia akifanya sala mbele ya Makaburi ya Wazazi wake alipotembelea nyumbani kwao. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe.Balozi Liberata Mulamula akutana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa Mhe.Mboni Mohamed Mhita Ubalozini Tanzania House Wsshington DC

Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mboni Mhita (juu) na chini Mhe.Balozi Libearata Mulamula (katikati) katika picha ya kumbukumbu na Mhe.Mboni Mhita Kulia na Bibi Loveness Mamuya kushoto baada ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kusomesha zaidi watoto wao

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Abdallah Ulega, amewataka wazazi na walezi wilayani humo kutumia rasilimali zao, ili kuwasomesha watoto.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya Shamiri kusomesha watoto 112

unnamed

Meneja Mahusiano shirika la The Foundation For Tomorrow, Anton Asukile (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Arusha juu ya Kampeni ya SHAMIRI inayolenga kuchangisha milioni 50 kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi, kulia ni Meneja Programu wa masuala ya kijamii na afya, Hedwiga Mchaki na kushoto ni Hilda Lema, Mfanyakazi wa shirika hilo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Meneja Programu wa masuala ya kijamii na afya  wa shirika la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani