Kampeni ya Shamiri kusomesha watoto 112
Meneja Mahusiano shirika la The Foundation For Tomorrow, Anton Asukile (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Arusha juu ya Kampeni ya SHAMIRI inayolenga kuchangisha milioni 50 kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi, kulia ni Meneja Programu wa masuala ya kijamii na afya, Hedwiga Mchaki na kushoto ni Hilda Lema, Mfanyakazi wa shirika hilo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
Meneja Programu wa masuala ya kijamii na afya wa shirika la...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Watakiwa kusomesha zaidi watoto wao
11 years ago
GPL‘TUNAWEZA’ YACHANGISHA FEDHA KUSOMESHA WATOTO MASKINI WALIOFAULU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kvgGPmiSRqM/Xp826PybKmI/AAAAAAALnwQ/Fi8uIkLezvIAvtABMgd908dD-TKUUKwjQCLcBGAsYHQ/s72-c/FB_IMG_1587468006148.jpg)
MHE SIMAI MOHAMED SAID AHAMASISHA WAZAZI KUSOMESHA WATOTO NYUMBANI WAKATI HUU WA KORONA
Akizungumza wakati alipozindua picha maalum inayohamasisha Wazazi kuwasomesha watoto, huko katika jengo la Wizara hiyo Mazizini Mjini Unguja, Mhe Simai amesema pamoja na kuwa wazazi wanatoka kwenda katika shughuli zao za kila siku, lakini bado wana jukumu la...
10 years ago
Habarileo01 Jan
112 wakamatwa kwa ugaidi
KWA mwaka 2014, serikali imefanikiwa kutambua mtandao wa viongozi na washirika wao, wanaotuhumiwa kupanga na kufanya mashambulizi ya kigaidi kwa kutumia mabomu na kumwagia watu tindikali Tanzania Bara na Zanzibar.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Cloud 112: Mimi siigizi
STAA wa filamu za Bongo, Issa Mussa ‘Cloud 112’, amesema muonekano wake katika filamu nyingi huwa haigizi ndivyo alivyo. Kauli hiyo imekuja baada ya msanii huyo kuonekana mtata katika filamu...
9 years ago
Mwananchi30 Sep
Mahujaji 112 warejea nchini
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
10 years ago
Habarileo17 Oct
Watoto milioni 21 kuchanjwa kampeni ya surua, rubella
SERIKALI imesema inatarajia kuchanja watoto milioni 21 katika kampeni shirikishi ya chanjo ya surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi 15 inayotarajiwa kuanza kesho hadi Ijumaa ijayo. Lengo la kampeni hiyo ni kupunguza vifo na madhara yatokanayo na magonjwa hayo.
11 years ago
GPL27 Jul
CLOUD 112 : NJOONI MSHUHUDIE NITAKAVYOMTWANGA JB