Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


112 wakamatwa kwa ugaidi

KWA mwaka 2014, serikali imefanikiwa kutambua mtandao wa viongozi na washirika wao, wanaotuhumiwa kupanga na kufanya mashambulizi ya kigaidi kwa kutumia mabomu na kumwagia watu tindikali Tanzania Bara na Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kumi wakamatwa Tanzania kwa ugaidi.

Watu 10 wanashikiliwa mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi .

 

11 years ago

Michuzi

watuhumiwa 25 wakamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ugaidi nchini

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya
 Jinai nchini, (DCI) Kamishna Isaya Mngulu.Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha, ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi.Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo. Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni: SHAABAN MUSSA MMASA @ JAMAL, Umri miaka 26...

 

9 years ago

BBCSwahili

Washukiwa 38 wa ugaidi wakamatwa TZ

Polisi nchini Tanzania wanasema wamewakamata washukiwa 38 wa ugaidi na kunasa shehena ya silaha baada ya operesheni kali

 

10 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Ulaya

Polisi katika nchi kadhaa barani Ulaya wamewakamata washukiwa kadhaa wenye itikadi kali za kidini katika misako iliyofanywa usiku kucha.

 

10 years ago

Mwananchi

Kumi wakamatwa tishio la ugaidi

Tishio la ugaidi linazidi kuongezeka baada ya polisi mkoani hapa kuwakamata watu kumi kwenye msikiti wakiwa na vifaa vinavyosadikiwa kuwa vinatumika kwenye mashambulizi ya kigaidi, ikiwamo bendera nyeusi, milipuko na sare za jeshi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Australia

Polisi nchini Australia wamewakamata wanaume watano kufuatia oparesheni ya kupambana na ugaidi kwenye mji wa Melbourne.

 

10 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa ugaidi wakamatwa Italia

Polisi nchini Italia wanasema kuwa wamewakamata watu 18 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Islamic State

 

9 years ago

GPL

WATU 38 WANAOJIHUSISHA NA UGAIDI WAKAMATWA NA SILAHA

Kova akionesha msisitizo wa jambo fulani. Kamanda Kova akionyesha baadhi ya silaha zilizokamatwa wakati wa oparesheni inayoendelea.…

 

10 years ago

Michuzi

SABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani