Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘TUNAWEZA’ YACHANGISHA FEDHA KUSOMESHA WATOTO MASKINI WALIOFAULU

   Staa wa filamu nchini, Jacquline Wolper, akipozi.      Wolper akiwa na Zeynat Mohamed aliyeandaa sherehe hiyo.  …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yachangisha fedha kwa ajili ya makundi ya wasiojiweza kanda ya ziwa

i82 (3)

Kikundi cha muziki cha i82 kutoka Shule ya Kimataifa ya Isamilo jijini Mwanza,wakiimba juzi usiku wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa Mkoani Mwanza mpango huo ulifadhiliwa na Kampuni ya simu za Mkononi Tigo. i82 (1) shangwe. Mashabiki wa kikundi cha muziki cha i82 cha Shule ya Kimataifa Isamilo ya jijini Mwanza, wakifurahia nyimbo mbalimbali juzi usiku,wakati wa hafla ya kuchangisha pesa kwa ajili ya watoto wenye kansa. audience (1) david twininge akiburudisha (1) Mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kusomesha zaidi watoto wao

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Abdallah Ulega, amewataka wazazi na walezi wilayani humo kutumia rasilimali zao, ili kuwasomesha watoto.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya Shamiri kusomesha watoto 112

unnamed

Meneja Mahusiano shirika la The Foundation For Tomorrow, Anton Asukile (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Arusha juu ya Kampeni ya SHAMIRI inayolenga kuchangisha milioni 50 kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi, kulia ni Meneja Programu wa masuala ya kijamii na afya, Hedwiga Mchaki na kushoto ni Hilda Lema, Mfanyakazi wa shirika hilo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Meneja Programu wa masuala ya kijamii na afya  wa shirika la...

 

5 years ago

Michuzi

MHE SIMAI MOHAMED SAID AHAMASISHA WAZAZI KUSOMESHA WATOTO NYUMBANI WAKATI HUU WA KORONA

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said amewaomba Wazazi na Walezi kushiriki kikamilifu katika kuwasaidia watoto kuwasomesha wakiwa nyumbani kwao hasa katika wakati huu wa mlipuko wa maradhi ya Korona.
Akizungumza wakati alipozindua picha maalum inayohamasisha Wazazi kuwasomesha watoto, huko katika jengo la Wizara hiyo Mazizini Mjini Unguja, Mhe Simai amesema pamoja na kuwa  wazazi wanatoka kwenda katika shughuli zao za kila siku, lakini bado wana jukumu la...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wa maskini ‘weupe’ shuleni

Watoto katika familia masikini ndio wanaoathirika kwa kiwango kikubwa kwa kushindwa kupata stadi za kuwawezesha kujua kusoma na kuandika wakiwa darasa la pili, ikilinganishwa na watoto waliopo katika familia tajiri.

 

11 years ago

Habarileo

25% waliofaulu Dar wakosa nafasi sekondari

WANAFUNZI 34,852 waliofaulu mtihani wa darasa la saba wa mwaka 2013 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule mbalimbali huku wanafunzi 11,796 sawa na asilimia 25 wakikosa nafasi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya uchache wa vyumba vya madarasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Robo tatu ya waliofaulu wachaguliwa kidato cha V

Robo tatu ya wanafunzi waliofaulu kidato cha nne kwa kupata daraja la kwanza hadi la tatu (Division I – III), wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano.

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 KAMPUNI ya ACACIA inayojishughulisha na uchimbaji na utafutaji madini, imezindua kampeni ya kukusanya fedha kupitia kupanda mlima Kilimanjaro, leo Jumatatu Juni 22, 2015, ambapo fedha hizo zitakwenda kusaidia sekta ya elimu kwenye maeneo yanayozunguka migodi mitatu inayomilikiwa na kampouni hiyo ya North Mara, Bulyanhulu na Buzwagi.

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

Mahabusu ya watoto Tanga kupatiwa fedha

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Serikali imetenga fedha zitagawiwa kwenye vituo vyote vinavyotoa ushauri nasaha na kurekebisha watoto walio chini ya umri wa miaka 18 vilivyo chini ya Idara ya Ustawi wa jamii nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  Nsachris Mwamwaja kufuatia habari iliyochapishwa na gazeti la Majira toleo Na. 7524 Vol.II/5624 la Jumatano Agosti 13, mwaka huu yenye kichwa cha habari “Mahabusu ya watoto yadaiwa mil. 1/=”.
“Ni kweli tatizo hilo lipo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani