Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHESHIMIWA BALOZI AHMED ISSA-MGENI RASMI KATIKA PARTY YA KUMPONGEZA DIAMOND BET -LOS ANGELES

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA WA UTALII BEVERLEY, LOS ANGELES MAREKANI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kulia) akizungumza na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa juu ya mikakati mbalimbali ya kuvutia watalii wa kimarekani kutembelea Tanzania jana Beverly, Los Angeles. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani Bw. Ahmed Issa (kushoto) na Bw. Abdul Majid baada ya kupokea taarifa ya mikakati wanayoitumia...

 

11 years ago

Michuzi

NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE AHMED ISSA, BEVERLY HILLS CALIFORNIA

 Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mapama leo mazungumuzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana nchini Marekani pia Waziri Nyalandu alimpongeza Balozi wa Heshima kwa kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania kwenye magari yake ya mizigo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE. AHMED ISSA, BEVERLY HILLS, CALIFORNIA

 Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mapama leo mazungumuzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana nchini Marekani pia Waziri Nyalandu alimpongeza Balozi wa Heshima kwa kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania kwenye magari yake ya mizigo.Abdul Majid akipiga picha na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu walipokutana Beverly Hills, California huku Mhe. Waziri akipata kumbukumbu...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE. AHMED ISSA, BEVERLY HILLS, CALIFORNIA‏



Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mazungumzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana nchini Marekani pia Waziri Nyalandu alimpongeza Balozi wa Heshima kwa kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania kwenye magari yake ya mizigo. Abdul Majid akipiga picha na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu walipokutana...

 

9 years ago

GPL

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU‏

Afisa Habari wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Veronica Kazimoto akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mkutano wa wadau wa takwimu wenye lengo la kujadili namna ya kushirikiana katika kuhakikisha takwimu za viashiria vya Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) zinapatikana kwa wakati unaotakiwa. Mkutano huo utafanyika kesho katika ukumbi wa hoteli ya Habour View iliyopo Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

tanzia: Issa Ahmed Othman aliyekuwa Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii afariki dunia

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa CCM na wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa nyumbani alipozaliwa marehemu Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar katika masuala ya Utalii,aliyefariki nchini India alipoenda kwa matibabu.Katibu Mkuu alitoa salaam za pole kwa familia ya marehemu na ndugu zake kupokelewa na kaka wa marehemu Othman Ahmed Othman nyumbani kwao Shenge Juu, Pemba.

Na Abdulla Ali - Maelezo, Zanzibar                             
Aliyekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani