NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE AHMED ISSA, BEVERLY HILLS CALIFORNIA
Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mapama leo mazungumuzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana nchini Marekani pia Waziri Nyalandu alimpongeza Balozi wa Heshima kwa kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania kwenye magari yake ya mizigo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZIRI NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE. AHMED ISSA, BEVERLY HILLS, CALIFORNIA
11 years ago
GPLWAZIRI NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE. AHMED ISSA, BEVERLY HILLS, CALIFORNIA
Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mazungumzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana nchini Marekani pia Waziri Nyalandu alimpongeza Balozi wa Heshima kwa kuendelea kutangaza utalii wa Tanzania kwenye magari yake ya mizigo. Abdul Majid akipiga picha na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu walipokutana...
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA WA UTALII BEVERLEY, LOS ANGELES MAREKANI
.jpg)
.jpg)
11 years ago
CloudsFM25 Jun
11 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Zuriel Oduwole Shines at Annual WOMEN IN FILM AWARDS in Beverly Hills
The annual Women In Film Awards held on June 16th at the Hyatt Regency Hotel in Beverly Hills. The event honors extraordinary Women actors, directors, film makers and producers whose works excelled from the previous year. The strict invitation only event sponsored by various movie/entertainment studios and global luxury brands, such as Tiffany and BMW drew many women from the industry, including Nicole Kidman, Phylicia Rashad, Sandra Bullock, Kate Mara, Regina King, and Ava DuVernay, who...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake
Kampuni ya Ms Shimoja yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...
10 years ago
Vijimambo
MHE. MWAKYEMBE AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA TANZANIA, DUBAI, MHE. OMAR MJENGA

Mhe. Mjenga amemueleza Mhe. Mwakyembe kuhusu mazungumzo yake pamoja na Mhe. Gaith Alghaith, Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la FlyDubai, kuhusu mpango wa shirika hilo kuingia makubaliano ya ushirikiano pamoja na shirika la Ndege la Tanzania(Air Tanzania) ambako Flydubai watatoa ndege tano zitakazochukua njia za ndani (domestic routes) na zile za...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania