Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. MWAKYEMBE AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA TANZANIA, DUBAI, MHE. OMAR MJENGA

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Harrisson Mwakyembe, amekutana na kufanya mazungumzo ofisini kwake na Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai.
Mhe. Mjenga amemueleza Mhe. Mwakyembe kuhusu mazungumzo yake pamoja na Mhe. Gaith Alghaith, Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la FlyDubai, kuhusu mpango wa shirika hilo kuingia makubaliano ya ushirikiano pamoja na shirika la Ndege la Tanzania(Air Tanzania) ambako Flydubai watatoa ndege tano zitakazochukua njia za ndani (domestic routes) na zile za...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga Akutana na Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai.























Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha na Mhe. Yousef A. Rahmani Al Mahaira, Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai baada ya kikao chao leo ofisini kwa Mhe. Yousef. Kikao chao kilijadili maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Sheikh Ahmed Bin Saeed Ak Maktoum, Rais wa Idara ya Anga ya Dubai na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI MHE. OMAR MJENGA, AKUTANA MTENDAJI MKUU NA RAIS WA FLYDUBAI

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Ghaith Alghaith, Mtendaji Mkuu na Rais wa Shirika la Ndege la Flydubai katika ofisi za shirika hilo. Katika mazungumzo, Mhe. Omar Mjenga, amemueleza kuhusu maombi ya Serikali ya Tanzania kwa shirika hili ya kuingia ubia na Air Tanzania kwa ajili ya safari za ndani (domestic flights) na zile za kikanda (regional fligjts). Nia ya mpango huu ni kuiwezesha Air Tanzania kuanza safari zake zote za...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga na Mama Mjenga wamwandalia futari Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake Dubai

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard  Membe  akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga wakisubiri muda wa  futari mjini Dubai leo. Mhe. Membe alikuea njiani  kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola. Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.
 Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

DRAGON MART YA DUBAI WAKUTANA TENA NA BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA

 Mhe. Omar Mjenga akiwa katika na chakula cha jioni (Dinner) na uongozi wa Dragon Mart ya Dubai, ambao wameonyesha nia kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, kujenga uwanja wa maonyesho ya biashara wa kisasa utakaokuwa unafanya maonyesho mfululizo kwa mwaka mzima.
Nia yao pamoja na Wizara, ni kujenga kituo cha ubora( centre of excellency) kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika.

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Balozi Modest Mero amtembelea Mhe. Balozi Mdogo Omar Mjenga, Dubai.


Katika picha ni Mhe. Modest Mero, Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva alipomtembelea Mhe. Omar Mjenga kwenye makazi yake Jumeirah Dubai.

 

11 years ago

Michuzi

Balozi adadi amtembelea balozi mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga

 Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Mhe Adadi Rajabu akiwa na  Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga, Jumeirah, Dubai, leo Mhe Adadi yuko Dubai kwa ziara ya kikazi

 

11 years ago

GPL

BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA, ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI MDOGO WA MALAYSIA.

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akitia saini katika kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia, kufuatia kutunguliwa kwa ndege ya shirika la Malaysia MH17 na abiria wote 298 kupoteza maisha. Mhe. Mjenga na mwenyeji wake, Mhe. Dato Ahmad Fadil Shamsuddin, Balozi Mdogo wa Malaysia wakiwa kwenye mazungumzo pamoja na Balozi Mdogo wa Afrika Kusini, Mhe. Manabile Shogole… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Omar Mjenga akutana na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai (NAKHEEL) Bwa. Rashid Lootah.

Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai, mhe. Omar Mjenga, leo amemtembelea na kufanya mazungumzo na Bw. Rashid Lootah, Mwenyekiti wa Nakheel, Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai.
Katika mazungumzo yao, wamezungumzia ziara ya Mwenyekiti huyo pamoja na ujumbe wake kuitembelea Tanzania, itakayofanyika kuanzi tarehe 16-20 Septemba, ambako anatarajia pamoja na kuonana na baadhi viongozi wa Serikali, watafanya mazungumzo na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) yatakayowezesha kusainiwa makubaliano ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, aongea katika mkutano wa sekta ya nyumba

mahojiano ya Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, akihojiwa na Cloudstv wakati wa mkutano wa uwekezaji sekta ya nyumba uliofanyika tarehe 11 Juni, 2014 katika Hotel ya Jumeirah Madnat Dubai. Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt Mohamed Bilal alikuwa mgeni rasmi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani