Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michezo Uhuru LEO!

Azam yaua Kagame

NA MWANDISHI WETU

TIMU ya Azam imetoa onyo kali kwa wapinzani kwenye michuano ya Kombe la Kagame, baada ya kuigagadua KMKM mabao 4-0.

Mchezo huo kwa pili kwa timu hizo tangu kuanza michuano hiyo juzi, ulichezwa jana kwenye Uwanja wa Amahoro, mjini Kigali, Rwanda.

Katika mchezo huo, Azam ilianza mchezo kwa kasi kwa kusaka mabao ya mapema.

Azam ilipata bao la kwanza sekunde ya 58 kupitia kwa John Bocco, akiunganisha pasi safi iliyopigwa na beki Shomari Kapombe.

Dakika ya nne Azam...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA

Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akiongoza timu ya wafanyakazi wa Mfuko pamoja na wafanyakazi wa Dangote kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania na kutekeleza agizo la Mh Rais John Pombe Magufuli la kuhakikisha watanzania wanafanya usafi katika maeneo yao.Zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara likiendelea ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru...

 

9 years ago

Dewji Blog

Matokeo michezo ya Jumamosi Novemba 21 na ratiba ya michezo ya leo Jumapili!

WW

Wachezaji wa Liver Pool wakishangilia baada ya ushindi wao wa mchezo wa jana waliochinda bao 4-1, dhidi ya Manchester City.

WINGEREZA – PRIMEAR LEAGUE

Watford 1 – 2 Manchester United

Chelsea 1 – 0 Norwich City

Everton 4 – 0 Aston Villa

Southampton 0 – 1 Stoke City

West Bromwich Albion 2 – 1 Arsenal

Newcastle 0 – 3 Leicester City

Swansea 2 – 2 Afc Bournemouth

Manchester City 1 – 4 Liverpool

HISPANIA – LIGA BBVA

Real Sociedad 2 – 0 Sevilla

Real Madrid 0 – 4 Barcelona

Espanyol 2 – 0...

 

9 years ago

Dewji Blog

Man United yatupwa nje UEFA, matokeo ya michezo mingine ipo hapa na ratiba ya michezo ya leo jumatano

jesse-lingard-memphis-depay-manchester-united-champions-league-wolfsburg-dejected_3386314

Baadhi ya wachezaji wa Manchester United wakitoka uwanjani kwa udhuni baada ya kumalizika kwa mchezo huo  hiyo jana..

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imeendelea hapo jana kwa michezo ya mwisho ya hatua ya makundi kwa makundi manne na haya ndiyo matokeo ya michezo hiyo;

GROUP A;

Paris Saint-German 2 – 0 Shakhtar Donetsk

Real Madrid 8 – 0 Malmo

GROUP B;

Wolfsburg 3 – 2 Manchester United

PSV Eindhoven 2 – 1 CSKA Moscow

GROUP C;

Benfica 1 – 2 Atletico Madrid

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya uhuru, michezo haijafanikiwa

Leo Watanzania zaidi ya milioni 40 wataungana kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika tangu  Desemba 9, 1961 ambapo bendera ya Mwingereza

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

9 years ago

Habarileo

JK kuzindua kituo cha michezo leo

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuzindua kituo kipya cha michezo mbalimbali kitakachoitwa Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park) kilichopo kidongo Chekundu jijini Dar es Salam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK kubariki Uhuru Marathon leo

p>MBIO za Uhuru Marathon 2013 zinatimua vumbi leo huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete. Mbio hizo za Km 42, Km 21, Km 5 na Km 3 zitaanzia viwanja...

 

11 years ago

Mwananchi

Uhuru Marathon kivumbi leo

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ataongoza wabunge 84 katika mbio za Uhuru Marathon zitakazofanyika leo kwenye Viwanja wa Leaders Club

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani