Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHUANO YA MADOLA: AIBA wamkataa kocha wa Tanzania

Shirikisho la Ngumi za Ridhaa la Dunia (AIBA) limegomea ombi la Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT) la kumtumia kocha mkuu wa timu ya taifa ya ngumi za ridhaa, Jonas Mwakipesile, kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kocha akata tamaa Madola

Kocha aliyekuwa na kikosi cha timu ya taifa ya riadha kilichokuwa kambini nchini China kujiandaa na michezo ya Jumuiya ya Madola, Boniface Kimisha amesema Tanzania isitarajie medali ya mbio fupi kwenye michezo hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland

ta6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.(PICHA NA IKULU).

ta1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Medali ya Madola imeachwa Tanzania’

Wakati msafara wa Tanzania ukiwasili kwenye kijiji cha michezo tayari kwa michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, kocha mkuu wa timu ya taifa ya judo, Zaid Hamis ametoa kali baada ya kueleza kuwa medali ya timu yake imebaki Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Mashujaa wa Tanzania waliotwaa medali 21 Madola

Tanzania imeshashiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola mara 12 na mwaka huu itakuwa ikishiriki kwa mara ya 13, lakini hadi sasa ni wanariadha watano tu ambao wamewahi kuchota medali kwenye mashindano hayo. Michezo ya mwaka huu itafanyika Scotland kuanzia Julai 23.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kusaka medali Madola leo

Tanzania inaanza kusaka medali kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola leo mchana, wakati timu za taifa za mpira wa meza, kuogelea na judo zitakuwa kwenye viwanja tofauti jijini Glasgow, Scotland.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania mwenyeji utumishi wa umma Madola

TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 12 wa wakuu wa utumishi wa Umma wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimimwa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete.

Na Pius Yalula-MAELEZO-Dar es salaam

Tanzania inatarajia  kuwa mwenyeji wa mkutano wa 12 wa watumishi wa umma wa  nchi za Afrika ambazo ni wanachama Jumuiya ya Madola utakaonza Jumatatu ijayo jijini Dar es salaam.

Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimimwa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete na kufungwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dokta Ali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Michuano ya Tennis kuanza Tanzania

Michuano ya Tennis kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 16 Afrika Mashariki kuanza jijini Dar es Salaam huku timu 8 zikishiriki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na michuano kanda ya 5 Afrika

Tanzania yachagua timu kuzikabili nchi nyingine za Afrika katika wavu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani