Microsoft Windows Phone 8.1 yatambulishwa Tanzania kupitia Lumia 930, Lumia 630 and Lumia 530
KAMPUNI ya Microsoft leo imetambulisha aina tatu ya Lumia ambazo ni Lumia 530, Lumia 630 pamoja na Lumia 930 huku zikiwa zimeunganishwa kabisa na mfumo mpya na wa kisasa wa kiteknolojia wa uendeshaji wa simu wa Windows Phone 8.1.
Mfumo huo mpya wa Windows Phone 8.1 unatoa mwanya zaidi kwa watumaiji wa simu hizo kuhakikisha kuwa wanajiunganisha na huduma mbalimbali za kisasa hasa katika lumia 530.
Pia kupitia mfumo huo wataalamu wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wanakuwa na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-v14DBfm4Zls/VAd0bo0tzlI/AAAAAAACp9I/-8BCLIUJVRU/s72-c/2.jpg)
Microsoft Windows Phone 8.1yatambulishwa Tanzania kupitia Lumia 930, Lumia 630 and Lumia 530
![](http://2.bp.blogspot.com/-v14DBfm4Zls/VAd0bo0tzlI/AAAAAAACp9I/-8BCLIUJVRU/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wV2uacEM_ZU/VAd1QswegGI/AAAAAAACp9o/qL-0H9xhmPk/s1600/1.jpg)
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Nokia Afrika Mashariki, Bi.Lilian Nganda akizungumza na waandishi wa habari Septemba 3,2014 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Nokia aina ya Lumia 530, 630 na 930.
![](http://3.bp.blogspot.com/-c3mtE2HBKzw/VAd0cv40x7I/AAAAAAACp9M/tnjGEctbI80/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EGU0UJsNmQQ/VAd0b_hbNuI/AAAAAAACp9Q/9Tv4pNZA6j8/s1600/4.jpg)
10 years ago
GPLMICROSOFT YAZINDUA LUMIA SMARTPHONES TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog29 Jun
Lumia ya window 10 yaingia kitaani
Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya Microsoft Kingori Gitahi akizungumza na vyombo vya habari (havipo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu tatu aina ya Lumia jijini Dar es Saalaam.
Na Modewji blog team
Meneja wa Bidhaa wa Kampuni ya Microsoft Kingori Gitahi amewataka watumiaji wa simu za mkononi za Smartphone kuacha kuzitumia kwa kusoma barua pepe pekee na kuzifanyisha shughuli za kuzalisha mali.
Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa simu tatu aina...
10 years ago
Dewji Blog13 May
Lumia Winners set for spectacular Cape Town Experience
(L-R)Uganda’s Onekalit Uhuru, Microsoft Mobile Device EA, General Manager Mariam Abdullahi, Tanzania’s Richard Mtango and Kenya’s Philip Mwaura.
WINNERS (L-R) Uganda’s Onekalit Uhuru, Tanzania’s Richard Mtango and Kenya’s Philip Mwaura at the send off party.
(L-R) Onekalit Uhuru, Romwald Bahati, Microsoft Mobile Device East Africa, General Manager Mariam Abdullahi, Richard Mtango and Ronald Mathew.
…as Microsoft’s #MakeItHappenEA campaign closes in style
Microsoft Mobile Devices has...
10 years ago
MichuziDAR ES SALAAM-BASED MAN WINS A TRIP TO MIKUMI NATIONAL PARK COURTESY OF LUMIA’S #MAKEITHAPPENEA CAMPAIGN
5 years ago
ZDNet14 Mar
Microsoft: WSL2's Linux kernel will be delivered to Windows 10 users via Windows Update
5 years ago
Forbes27 Mar
Microsoft Issues New Windows 10 Update Warnings
5 years ago
Forbes21 Mar
Microsoft Confirms Massive Windows 10 Upgrade Changes
5 years ago
GSMArena.Com21 Mar
Microsoft teases the upcoming Windows 10 UI changes - GSMArena.com news