Mike Tyson na Nas washirikishwa kwenye albam mpya ya Madonna ‘Rebel Heart’
Madonna ametoa orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albam yake mpya ‘Rebel Heart’, ambayo nusu ya nyimbo zake zilivuja mwishoni mwa mwaka jana nakumfanya atoe nyimbo sita kwa mpigo kabla ya tarehe ya kuitoa albam hiyo. Rapper Nas Escobar, Nicki Minaj pamoja na bondia wa zamani Mike Tyson ni miongoni mwa walioshirikishwa. Bado haijafahamika ushiriki wa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Jan
Video: Mike Tyson alivyo pata ajali kwenye hoverboard yake

Bondia wa zamani wa ngumi za uzito wa juu, Mike Tyson amezua gumzo baada ya kutuonesha video kwamba kama huwezi kutembelea hoverboard basi we achana nazo baada ya yeye kupiga mweleka.
Mike Tyson aliipost video kwenye ukurasa wake Instagram ambapo palikuwa pembeni na sauti inasikika ya mtoto wa kike ikiwa inamuonya kwamba ataanguka, lakini Mike akaendelea zake.. sekunde chache mbele mambo yakaenda kwa kuanguka
Ilikuwa stori kubwa yenye uzito wake katika TV ya CNN waliiripoti hii angalia...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Kama hukuona ajali ya Mike Tyson kwenye hoverboard yake, basi ilikuwa hivi.. (+Video)
Bondia wa zamani mbabe aliyeweka rekodi za nguvu kwenye mchezo wa ngumi, Mike Tyson ameamua tu kutuonesha kwamba kama huwezi kutembelea hoverboard, basi wewe achana nazo tuu hata usijaribu kucheza nazo. Hii video aliipost Mike Tyson kwenye ukurasa wake Instagram ambapo kuna sauti ya mtoto wa kike inaonekana kama anamuonya hivi kwamba ataanguka, lakini Mike […]
The post Kama hukuona ajali ya Mike Tyson kwenye hoverboard yake, basi ilikuwa hivi.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Pigano kati ya Deontay Wilder na Tyson Fury II: Mike Tyson ana muunga mkono Fury
10 years ago
BBCSwahili07 May
Mike Tyson hapendi picha binafsi
10 years ago
Bongo505 Feb
Vanessa Mdee na Davido washirikishwa kwenye ngoma moja ya msanii wa Ghana, D-Black
10 years ago
Bongo502 Dec
Picha: Madonna aonesha chuchu zake kwenye jarida la ‘Interview’
10 years ago
Vijimambo01 Mar
RITA ORA NA KIM KARDASHIANA WAGONGANA NA VAZI LINALOFANANA KWENYE HAFLA MOJA YA MADONNA.







