Video: Mike Tyson alivyo pata ajali kwenye hoverboard yake
Bondia wa zamani wa ngumi za uzito wa juu, Mike Tyson amezua gumzo baada ya kutuonesha video kwamba kama huwezi kutembelea hoverboard basi we achana nazo baada ya yeye kupiga mweleka.
Mike Tyson aliipost video kwenye ukurasa wake Instagram ambapo palikuwa pembeni na sauti inasikika ya mtoto wa kike ikiwa inamuonya kwamba ataanguka, lakini Mike akaendelea zake.. sekunde chache mbele mambo yakaenda kwa kuanguka
Ilikuwa stori kubwa yenye uzito wake katika TV ya CNN waliiripoti hii angalia...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Kama hukuona ajali ya Mike Tyson kwenye hoverboard yake, basi ilikuwa hivi.. (+Video)
Bondia wa zamani mbabe aliyeweka rekodi za nguvu kwenye mchezo wa ngumi, Mike Tyson ameamua tu kutuonesha kwamba kama huwezi kutembelea hoverboard, basi wewe achana nazo tuu hata usijaribu kucheza nazo. Hii video aliipost Mike Tyson kwenye ukurasa wake Instagram ambapo kuna sauti ya mtoto wa kike inaonekana kama anamuonya hivi kwamba ataanguka, lakini Mike […]
The post Kama hukuona ajali ya Mike Tyson kwenye hoverboard yake, basi ilikuwa hivi.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo521 Jan
Mike Tyson na Nas washirikishwa kwenye albam mpya ya Madonna ‘Rebel Heart’
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Pigano kati ya Deontay Wilder na Tyson Fury II: Mike Tyson ana muunga mkono Fury
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada.. (+Video)
Hoverboard ni jina la kiingereza lakini sina uhakika kama kuna jina rasmi la kiswahili limepatikana kuviita hivi vifaa… ni kama fashion sasahivi utaona mastaa kibao wanapost video wanatembea navyo !! Lakini kama haujaviweza tafadhali mtu wangu, hata usithubutu kuvijaribu.. Ripoti ya stori kwenye mtandao wa BBC inasema waumini kadhaa wamemshutumu Paroko mmoja wa Ufilipino ambae […]
The post Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada.. (+Video) appeared...
10 years ago
BBCSwahili07 May
Mike Tyson hapendi picha binafsi
11 years ago
Dewji Blog31 May
Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu
Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.
Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.
Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.
MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...
9 years ago
Bongo511 Nov
Ray C aomba msamaha baada ya video yake akiwa mtupu kupostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram
![Ray new](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Ray-new-300x194.jpg)
Siku ya jana Nov.10 kuna video mbaya ya mwanadada Rehema Chalamila maarufu kama Ray C akiwa mtupu akikata mauno zilipostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram (@rayc1982) na muda mfupi baadaye kufutwa.
Akizungumza na U Heard ya Clouds Fm leo, Ray C amekiri kuwa ni kweli aliyeonekana kwenye video hiyo ni yeye.
“Ndio ni kweli video hiyo ilipostiwa kwenye akaunti yangu ila sio mimi niliyeipost.” Alisema Ray C.
Ray C aliongeza kuwa video hiyo alirekodiwa na mpenzi wake kwaajili ya matumizi...
10 years ago
Bongo516 Oct
Video: Hawa ndio New Boyz, waliompa shavu AY kwenye video yake na Sean Kingston
9 years ago
Bongo529 Sep
Mabeste amtumia Lisa (mama wa mwanaye) kama video model kwenye video yake mpya ‘Usiwe Bubu’