Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikoa mitano kuchuana Safari Lager Nyama Choma

SHINDANO la Safari Lager Nyama Choma 2014 limezinduliwa jijini Dar es Salaam jana huku likitarajiwa kushirikisha baa mbalimbali katika mikoa mitano. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Meneja wa Bia ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"

Meneja Mauzo Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa ukanda wa Temeke, Patrick Swai akizungumza na waandishi wa habari (hawapi pichani)wakati akizitangaza bar tano zilizofanikiwa kuingia fainali kwenye kinyang’anyiro cha shindano la uchomaji nyama “Safari Lager Nyama Choma Competition 2015”,kwa mkoa wa Dar es salaam.

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA MASHINDANO YA NYAMA CHOMA 2014 JIJINI DAR LEO

 Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kushoto) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam wakati wa kutangaza Uzinduzi rasmi wa Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2014,ambapo amesema kuwa lengo kuu la Shindano hilo ni kuongeza hamasa kwa watayarishaji na walaji wa Nyama Choma ili kwa pamoja waweze kufahamu viwango bora katika uchomaji na utayarishaji wa Nyama Choma.Kulia ni Jaji Mkuu wa Mashindano ya Nyama Choma...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI LAGER NYAMA CHOMA YAFIKA KILELE MBEYA, TUMAIN BAR& LODGE WAIBUKA KIDEDEA

Mgeni rasmi katika mashindano ya safari lager nyama choma, Katibu tawala wa Wilaya ya Mbeya, Quip Mbeyela, akizungumza na wakazi wa Jiji la Mbeya kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.Meneja wa Bia ya Safari lager Edith Bebwa, akitoa neno la utangulizi kabla ya kuanza kukabidhi zawadi katika fainali ya nyama choma.Mgeni rasmi akiwa meza kuu pamoja na uongozi wa TBL.Jaji Mkuu akitaja majina ya washindiMgeni rasmi pamoja na watumishi wa TBL wakijiandaa kuanza kutoa zawadi.Mwakilishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

SD EXECUTIVEHOTELMABINGWA SAFARI NYAMA CHOMA 2015MWANZA

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Kanda ya Ziwa, Godwin Zacharia (katikati) akimkabidhi kikombe Mpishi Mkuu wa Bar ya SD Exective ya jijini Mwanza, Mussa Mashauri mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza.Kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lger, Edith Bebwa.
Na Mwandishi Wetu.Mbeya.
SD EXECUTIVE Hotel jijini Mwanza wameibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2015 yaliyofanyiaka mswishoni mwa...

 

11 years ago

Michuzi

Wachoma Nyama jijini Mwanza wapigwa msasa na Safari Lager

KAMPUNI ya Bia Tanzania(TBL) kupitia kinywaji chake cha Safari Lager jana imetoa mafunzo kwa wachoma nyama kutoka Baa mbali mbali za Mkoa wa Mwanza ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Safari Nyama Choma kwa mwaka 2014 yatakayo fanyika katika viwanja vya Furahisha.
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kanda ya Ziwa, Erick Mwayela, alisema lengo la kutoa mafunzo ni kutoa elimu kwa wachoma nyama ukizingatia uchomaji nyama ni moja sehemu ya...

 

10 years ago

Michuzi

Tumaini Bar Mabingwa Safari Nyama Choma 2015.

Katibu Tawala wa jiji la Mbeya, Quip Mbeyela(katikati) akimkabithi mshindi wa Safari Nyama Choma 2015, John Mushi kitita cha Shilingi 1,000 000/= mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano hayo yaliyofanyika katika Chuo cha TIA mwishoni mwa wiki. Mpishi Mkuu wa Bar ya Tumaini ya jijini Mbeya, John Mushi(kushoto) akishangilia na kikombe mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya Safari Nyama Choma 2015 yaliyofanyika katika Chuo cha uhasibu(TIA) mwishoni mwa wiki.Kulia ni...

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YATOA SOMO KWA WACHOMA NYAMA JIJINI MBEYA

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kanda ya Mbeya na Rukwa, Cloud Chawene, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Semina ya Uchomaji Nyama Bora ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Safari Nyama Choma.Semina hiyo ilifanyika Airport Pub Mkoani Mbeya jana. Jaji Mkuu wa mashindano ya Safari Nyama Choma akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Semina ya Uchomaji Nyama Bora ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Safari Nyama Choma.Semina hiyo ilifanyika Airport Pub Mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

Milestone Mark Mabingwa Safari Nyama Choma 2015 Arusha.

Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Jijini Arusha, Boniventure Mshongi (kushoto) akimkabidhi kikombe Mchoma nyama wa Bar ya Milestone Park, Lawrence Kimonge mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika katika Uwanja wa Nanenane mwishoni mwa wiki jijini Arusha .Katikati ni Meneja wa bia ya Safari Lger, Edith Bebwa. Mashabiki wa Bar ya Milestone Park ya jijini Arusha wakiwa wamembeba juu mchoma nyama wa bar hiyo mara baada ya kutangazwa bingwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani