SAFARI LAGER YAZINDUA MASHINDANO YA NYAMA CHOMA 2014 JIJINI DAR LEO
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kushoto) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam wakati wa kutangaza Uzinduzi rasmi wa Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2014,ambapo amesema kuwa lengo kuu la Shindano hilo ni kuongeza hamasa kwa watayarishaji na walaji wa Nyama Choma ili kwa pamoja waweze kufahamu viwango bora katika uchomaji na utayarishaji wa Nyama Choma.Kulia ni Jaji Mkuu wa Mashindano ya Nyama Choma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziSAFARI LAGER YAZINDUA RASMI PROGAMU YAKE YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” KWA MSIMU 4 JIJINI DAR LEO
11 years ago
MichuziMashindano ya Mchezo wa Safari Lager National Pool Championship 2014 yazinduliwa leo jijini Dar
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo huo Taifa (TAPA), Amosi Kafwinga amesema mashindano hayo ambayo kwa ngazi ya taifa yatamalizika mwezi Septemba 14, mwaka huu.
Kafwinga amesema fainali za taifa za mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania(TBL)...
10 years ago
MichuziSAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Mikoa mitano kuchuana Safari Lager Nyama Choma
SHINDANO la Safari Lager Nyama Choma 2014 limezinduliwa jijini Dar es Salaam jana huku likitarajiwa kushirikisha baa mbalimbali katika mikoa mitano. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Meneja wa Bia ya...
11 years ago
MichuziNew City Pub ndio Mabingwa wa Safari Nyama Choma 2014 jijini Mbeya
10 years ago
MichuziSoccer City Mabingwa Safari Nyama Choma 2015 jijini Dar
10 years ago
VijimamboSAFARI LAGER NYAMA CHOMA YAFIKA KILELE MBEYA, TUMAIN BAR& LODGE WAIBUKA KIDEDEA
11 years ago
MichuziWachoma Nyama jijini Mwanza wapigwa msasa na Safari Lager
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja matukio wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kanda ya Ziwa, Erick Mwayela, alisema lengo la kutoa mafunzo ni kutoa elimu kwa wachoma nyama ukizingatia uchomaji nyama ni moja sehemu ya...