Mikoa yahimizwa uthibitisho riadha Taifa Cup
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limeendelea kuikumbusha mikoa ambayo inatarajiwa kushiriki mashindano ya taifa, kuthibitisha mapema kabla ya Julai 5. Mashindano ya taifa yanatarajiwa kufanyika Julai 13 na 14 Uwanja...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Mikoa yahimizwa kuthibitisha riadha taifa
MIKOA inayotarajiwa kushiriki mashindano ya taifa ya riadha yanayotarajiwa kufanyika Julai 12-13 jijini Dar es Salaam, imetakiwa kuthibitisha ushiriki wao kabla ya Juni 15. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...
9 years ago
Habarileo07 Dec
RT: Mikoa inaua riadha
RIADHA Tanzania (RT) imeitupia lawama mikoa kwa kushindwa kuendeleza mchezo huo nchini.
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Riadha taifa ni aibu
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
RT yakiri kuchemsha riadha taifa
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amekiri mbio za taifa kufanyika chini ya kiwango kutokana na kukosa maandalizi mazuri, hivyo kuwepo kwa dosari kiasi cha kushusha...
11 years ago
GPLMASHINDANO YA RIADHA YA TAIFA YAFANYIKA DAR
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Atakayevunja rekodi riadha taifa mil. 1/-
NAIBU Waziri wa Sheria na Katiba, Angela Kairuki, ameahidi zawadi ya shilingi milioni moja kwa atakayevunja rekodi katika mashindano ya riadha ya taifa yatakayofanyika Juni 12 na 13, jijiji Dar...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7B-MTGxtaYg/U7qS9zVyfxI/AAAAAAAFve8/0EcOX6mw3UA/s72-c/unnamed+(19).jpg)
RIADHA TABORA WAJIFUA KWA AJILI YA MASHINDANO YA TAIFA
![](http://2.bp.blogspot.com/-7B-MTGxtaYg/U7qS9zVyfxI/AAAAAAAFve8/0EcOX6mw3UA/s1600/unnamed+(19).jpg)
Na Allan Ntana,Tabora
TIMU ya Riadha ya mkoa wa Tabora ipo katika mazoezi makali kujiandaa na mashindano ya Riadha Taifa yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki hii jijini Dar e s salaam.
Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tabora Salum Tarraddady, alisema jumla ya...
11 years ago
Dewji Blog15 Jul
Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
10 years ago
Habarileo17 Nov
Mikoa 21 yaunganishwa mkongo wa taifa
MIKOA 21 nchini imeunganishwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano huku ikielezwa kuwa, vijiji 4,000 ambavyo havijaunganishwa na mkongo huo, vitaunganishwa katika awamu ya tatu.