Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIKUTANO YA KAMPENI YA MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA KISARAWE

 Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa Kisarawe katika mkutano wa kampeni.
 Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni. 
Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu”  
 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu”...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI

 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed,z (wa pili kushoto) akiwa na kutoka kulia aliyekuwa mbunge viti maalum Chadema, Rose Kamili, mwenyekiti Bawacha mkoa wa Geita, Husna Amri na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoani Dar es Salaam, John Guninita wakisali kumuombea dua aliyekuwa Mwenyekiti ya NLD, Emmanuel Makaidi wakati wa mkutano wa kampeni kati ofisi za Chadema Wilaya Hanang mkoa wa Manyara. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed akizungumza...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA HAJI DUNI AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI URAMBO, TABORA

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mamia ya wakazi wa jimbo la Urambo Mashariki mkoani Tabora wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square. (Picha na Francis Dande)Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chadema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Kata ya Ugala Urambo, Tabora, Hamidu Mussa baada ya kukiahama chama hicho na kujiunga na Chadema wakati wa mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA AFANYA MIKUTANO KILWA KUSINI

 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi. (Na Mpigapicha Wetu)  Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akimkabidhi kadi ya CUF aliyekuwa mwanachama wa CCM baada ya kurudisha kadi ya chama hicho kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.
 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"



 Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa mwanachama wa chama hicho, Kasim Msham aliyekihama na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinji Mkoa wa Lindi. (Picha na Francis Dande)Kadi za CCM zilizorudishwa na wanachama wa Chama hicho na kujiunga na CUF katika kijiji cha Nanjilinjimkoa wa Lindi.
 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Majengo wilayani Bagamoyo. Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI WA DUNI HAJI MGOMBEA MWENZA CHADEMA HUKO MTWARA



Mgombea Mwenza CUF - UKAWA, Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa Mtwara kwenye kampeni Jana 

 

9 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CHADEMA WAMPITISHA BILA KUPINGWA MH. LOWASSA KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA NA DKT. JUMA HAJI DUNI MGOMBEA MWENZA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. Makamu wa Kwanza wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani