Mipango ya kujifurahisha, mashabiki wanashangilia
Klabu ya Simba imezindua rasmi huduma yake mpya itakayojulikana kama ‘Simba News’ ambayo wanachama, wapenzi na wadau wengine wanaweza kupata habari zinazohusu klabu hiyo kupitia ujumbe mfupi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM19 Feb
Jux: Nafanya muziki biashara sifanyi kujifurahisha
Staa wa Bongo Fleva,Juma Jux amefunguka zile hisia za mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kuwa msanii huyo anafanya muziki usio wa kiushindani kama wasanii wengine na kwamba anaonekana kama anafanya tu kwa vile ana kipaji au kujifurahisha.
Akizungumza na Clouds Fm alisema kuwa mashabiki wanaona kama hana presha na muziki huo kama wasanii wengine lakini hisia za mashabiki hao ni tofauti na kwani yeye ni kama wasanii wengine hufikiria sana kuhusu muziki wake.
9 years ago
Press30 Dec
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.
Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XxhH5g03vv8/VRrEKblJb6I/AAAAAAAHOls/g1T0e3kwuic/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO
![](http://4.bp.blogspot.com/-XxhH5g03vv8/VRrEKblJb6I/AAAAAAAHOls/g1T0e3kwuic/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AeIOCOaueNc/VRrEKiMEgOI/AAAAAAAHOlo/IqsGRxrpJ8o/s1600/unnamed%2B(8).jpg)