Jux: Nafanya muziki biashara sifanyi kujifurahisha
Staa wa Bongo Fleva,Juma Jux amefunguka zile hisia za mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kuwa msanii huyo anafanya muziki usio wa kiushindani kama wasanii wengine na kwamba anaonekana kama anafanya tu kwa vile ana kipaji au kujifurahisha.Akizungumza na Clouds Fm alisema kuwa mashabiki wanaona kama hana presha na muziki huo kama wasanii wengine lakini hisia za mashabiki hao ni tofauti na kwani yeye ni kama wasanii wengine hufikiria sana kuhusu muziki wake.
‘’Mshabiki wanafikiria tofauti sana...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Aug
Saisalu: Nafanya muziki kutafuta ada ya chuo
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Idd Azzan: Mwenye ushahidi nafanya biashara ya dawa za kulevya awape polisi
9 years ago
Bongo514 Dec
Beka Ibrozama: Muziki wa biashara usitufanye tuutupe muziki wa asili ya Tanzania
Muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo wake ‘Natumaini’, Beka Ibrozama ameonya kuwa kama wasanii watajisahau na kufanya zaidi ule wanaouita muziki wa biashara wenye kukopa vionjo vya nje, muziki wenye asili ya Tanzania utapotea.
Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni, Beka alisema pamoja na kufanya nyimbo za kisasa, bado amekuwa akitumia muziki wenye asili ya Tanzania kumpa inspiration.
“Nasikiliza tu jinsi muziki unavyoelekea, naona ni muziki ambako upo wa kukopi sana, watu...
9 years ago
Bongo512 Dec
Kufanya muziki kwa kuzingatia maadili ni kujikosesha fursa – Jux
Muimbaji wa muziki wa R&B aliyewahi kupata dhoruba la kufungiwa kwa video ya wimbo wake ‘Uzuri Wako’ na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kwa kigezo cha maadili, ameeleza jinsi kigezo hicho kinavyoathiri wasanii na kushindwa kupiga hatua.
Jux aliyeachia video ya wimbo wake mpya ‘One more Night’ hivi karibuni, amekiambia kipindi cha FNL kinachoruka kupitia EATV kuwa, kama wakiendelea kubanwa na kigezo hicho, wasanii wa Tanzania watashindwa kushindana na wasanii wa kimataifa.
“Unajua muziki wetu...
9 years ago
Bongo513 Oct
Nyota imenifundisha biashara ya muziki — Msechu
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
KIAMUANGANA MATETA ‘VERCKYS’: Gwiji lililomudu muziki na biashara DRC
HISTORIA ya muziki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), haiwezi kukamilika iwapo halitatajwa jina la mwanamuziki Kiamuangana Mateta maarufu ‘Verckys’. Kiamuangana, alijijengea umaarufu katika muziki akiwa mpulizaji mashuhuri wa...
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Mipango ya kujifurahisha, mashabiki wanashangilia
11 years ago
Bongo525 Jul
Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi