Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saisalu: Nafanya muziki kutafuta ada ya chuo

>Muziki ni miongoni mwa starehe inayomhusu mtu yeyote ikiweza kuburudisha, kufariji hata kuliwaza wakati wowote, popote kwa jambo lolote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Jux: Nafanya muziki biashara sifanyi kujifurahisha

Staa wa Bongo Fleva,Juma Jux amefunguka zile hisia za mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kuwa msanii huyo anafanya muziki usio wa kiushindani kama wasanii wengine na kwamba anaonekana kama anafanya tu kwa vile ana kipaji au kujifurahisha.Akizungumza na Clouds Fm alisema kuwa mashabiki wanaona kama hana presha na muziki huo kama wasanii wengine lakini hisia za mashabiki hao ni tofauti na kwani yeye ni kama wasanii wengine hufikiria sana kuhusu muziki wake.

‘’Mshabiki wanafikiria tofauti sana...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi 1,800 kulipiwa ada chuo kikuu

CHUO Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU) kimetangaza kutoa udhamini kwa wanafunzi 1,800 watakaojiunga kuanzia mwaka huu wa masomo kwa kuwalipia nusu ya ada.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Chuo kikuu ni fursa ya kuondoa ujinga, siyo kutafuta kazi’

Hivi karibuni nilialikwa kwenye makulaji ya kumaliza mwaka yaliyoandaliwa jijini hapa na Wafanyakazi wa Nice Catering Company yanye Makao Makuu yake Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Nimewekeza ‘boom’ la Chuo kufanya muziki

Penye nia pana njia na mvumilivu hula mbivu’ licha ya kuchanganywa na usemi wa ngoja ngoja huumiza matumbo.Katika kila safari ya mja, hunena kupitia tone la jasho analosotea juani.

 

11 years ago

Mwananchi

Msondo; Chuo cha muziki kisicho na majengo

>Inaitwa Msondo Music Band ikiwa ni bendi  iliyopitia majina mengine matatu kabla ya hilo. Ilipoanzishwa iliitwa Nutta Jazz  baadaye Juwata Jazz, kisha Ottu Jazz, mabadiliko ambayo yaliakisi pia kubadilika kwa jina la Chama cha Wafanyakazi  kilichokuwa kikimiliki bendi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota aliyeamua kuacha chuo akafanye muziki

Kwa wafuatiliaji wa miondoko ya R&B, Luther Vandross siyo jina geni masikioni mwao kutokana na umahiri aliokuwa nao nyota huyo.

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel kufungua chuo cha muziki ‘TIMS’

Producer Nahreel na msanii wa kundi la Navy Kenzo, anaanzisha chuo cha muziki chini ya studio yake ya The Industry. Nahreel amesema kuwa mafunzo yatakayotolewa katika chuo cha TIMS (The Industry Music School) ni pamoja na utengenezaji wa midundo, ufanyaji wa mixing na mastering, kutunga, kurap, kuimba,na usimamizi wa biashara ya muziki. “Classes zitaamza karibuni […]

 

11 years ago

GPL

ONESHO LA VYOMBO VYA MUZIKI KUFANYIKA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

Action Music Tanzania inayofuraha ya kukualika kuhudhuria onesho la muziki litakalofanyika siku ya Ijumaa ya tarehe saba mwezi wa tatu (07.03.2014) kwenye idara ya sanaa na sanaa za maonesho (FPA) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni hadi saa mbili usiku (12:30-2:00), Kiingilio ni bure. Onesho hilo limeandaliwa na AMTZ litawahusisha wanamuziki kutoka kwenye taasisi mbalimbali ambao wameshiriki...

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel aelezea kwanini ameweka masharti magumu ya kujiunga na chuo chake cha muziki

Producer wa The Industry, Nahreel amesema kuwa lengo la kuanzisha chuo cha muziki ni kutaka kutengeneza watu watakaoweza kuja kuleta mapinduzi kwenye muziki wa Bongo. Hit maker huyo wa ‘Nana’ ya Diamond na ‘Game’ ya Navy Kenzo ameongeza kuwa kutokana na sababu hiyo ndio maana hachukui watu hovyo hovyo wanaohitaji kujiunga na chuo chake cha […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani