Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mipango ya tamasha la Lady Gaga Uingereza yazinduliwa

BBC imetangaza mipango yake ya kuonYesha tamasha la Mwanamuziki Lady Gaga.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Lady Gaga — Til It Happens To You

Lady Gaga ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Til It Happens To You’. Huu ni wimbo ambao Lady Gaga amesema ameuandika kwaajili ya watu wote duniani ambao wamekutana na matatizo ya unyanyasaji wa kijinsia. Sehemu ya mapato ya wimbo huu yatapelekwa kwenye mashirika yanayohudumia watu waliofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge […]

 

9 years ago

Bongo5

Lady Gaga alihofia ustaa ungemuua, alitaka kuacha muziki

lady_gaga-jpg

Lady Gaga aliwahi kuhofia kuwa ustaa wake ungemuua.

lady_gaga-jpg

Muimbaji huyo mwenye miaka 29 mwaka jana alifikiria kuachana na muziki kwasababu maisha aliyokuwa akiishi alihofia yangepelekea kupoteza maisha.

Akiongea na jarida la Billboard, muimbaji huyo alisema:

At the end of 2014, my stylist asked, ‘Do you even want to be a pop star anymore?’ I looked at him and I go, ‘You know, if I could just stop this train right now, today, I would. I just can’t. But, I need to get off now because I’m going to...

 

5 years ago

indy100

People got angry at Lady Gaga being invited to a WHO conference. But she shut them up by raising $35m

People got angry at Lady Gaga being invited to a WHO conference. But she shut them up by raising $35m  indy100

 

10 years ago

Vijimambo

Fashion Diary: Rihanna, Beyonce and Lady Gaga Rocking Hot Kitenge Designs!! (photos)

I have always thought Kitenge and Khanga are the best prints that ever happened to Fashion.They define what Is aesthetically African and Chic.
Designers from across the continent have been working round the clock to come up with outfits in such ethereal designs that would lure even the A-list celebrities .
Beyonce and Rihanna have rocked kitenge at some point.

Beyonce and Jayz enjoying their holiday in Miami, With Beyonce wearing what passes as kitenge jumper shorts
So what is Kitenge exactly?...

 

10 years ago

GPL

BAISKELI ILIYOTENGENEZWA KWA DHAHABU YAZINDULIWA UINGEREZA, BEI YAKE MILIONI 676.5

Baiskeli iliyotengenezwa kwa dhahabu inayogharimu millioni 676.5 NI rahisi sana kwa watu kulalamikia gharama ya kununua baisekli wengi wakitaka bei nafuu. Baiskeli nyingi nchini Uingereza huuzwa kwa pauni 1,000 sawa na shilingi milioni 2.7 za Tanzania ambazo kwa watu wengi nchini humo ni fedha nyingi sana. Hata hivyo baiskeli mpya iliyotengezwa kwa dhahabu imezinduliwa nchini humo. Bei yake? Pauni 250,000 sawa na milioni 676.5...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA KUPAMBWA NA MWIMBAJI KUTOKA UINGEREZA

Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati akimtangaza mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Uingereza, Ifiyani Karechi atakayeshiriki katika tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5 kwenye Uwanja wa Taifa. 
Picha na Francis Dande.


 Alex Msama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani