Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAISKELI ILIYOTENGENEZWA KWA DHAHABU YAZINDULIWA UINGEREZA, BEI YAKE MILIONI 676.5

Baiskeli iliyotengenezwa kwa dhahabu inayogharimu millioni 676.5 NI rahisi sana kwa watu kulalamikia gharama ya kununua baisekli wengi wakitaka bei nafuu. Baiskeli nyingi nchini Uingereza huuzwa kwa pauni 1,000 sawa na shilingi milioni 2.7 za Tanzania ambazo kwa watu wengi nchini humo ni fedha nyingi sana. Hata hivyo baiskeli mpya iliyotengezwa kwa dhahabu imezinduliwa nchini humo. Bei yake? Pauni 250,000 sawa na milioni 676.5...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Kushuka kwa bei ya Dhahabu, Kampuni zaaswa kutopunguza wafanyakazi.

Na Shaabani Alley,

Shinyanga.

 

Wakati bei ya dhahabu katika soko la dunia ikiwa imeshuka, Serikali imetoa wito kwa Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ya ACACIA kutopunguza wafanyakazi kwenye migodi yake ukiwemo wa Buzwagi wilayani Kahama mkoani Shinyanga.

 

Bei ya Dhahabu kwa mwaka 2014 imekuwa chini ya dola 1,300 kwa ounce moja kwa muda mrefu na kufikia Novemba bei ilikuwa 1,129 kwa ounce moja hali ambayo imeleta mtikisiko wa uendeshaji wa makampuni ya uchimbaji wa Dhahabu.

 

Ilikuwa ni siku...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 21 YA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WASHUKA KUTOKA MLIMA KILIMANJARO,WACHANGISHA MILIONI 800 KWA AJILI YA ELIMU TANZANIA.

Timu ya watu 21 ya wafanyakazi ,Ndugu na Marafiki wa Kampuni ya kuchimba dhahabu ya Acacia wakishuka kutoka mlima Kilimanjaro ambako walipanda kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia elimu.Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ya Acacia,Brad Gordon akiwa na Meneja wa Ustawi wa kampuni Asa Mwaipopo wakifurahia mara baada ya kushuka toka kaika kilele cha Uhuru ambako watu 19 kati ya 21 ndio walifanikiwa kufika kileleni.Meneja wa Kitengo cha Mawasiliano na...

 

11 years ago

Michuzi

snoop dogg aacha gumzo uingereza kwa kufikia hoteli ya kawaida ya bei poa

Na Sultani KipingoAnajulikana kwa kutumbua maraha na kuishi kifahari, lakini rapa milionea Snoop Dogg ameacha gumzo huko Uingereza kwa kukaa katika hoteli ya bei ya chini ya Holiday Inn Express wakati wa onesho lake katika kitongoji cha Devon, Exeter, wikiendi ilopita  Msanii huyu wa Marekani, ambaye alilipwa pauni za Uingereza 22,000 (sawa na 60,236,000/- za madafu) kwa onesho hilo la masa mawwili katiika ukumbi wa klabu ndogo ya usiku ya Timepiece, alikaa kwenye hoteli hiyo kwa bei ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Shanta ya uchimbaji wa dhahabu yakabidhi hundi ya milioni 41.5 kwa kikundi cha Aminika Gold Mine cha Sambaru

gm

Meneja mkuu wa shanta akizungumza kwenye mkutano wa makabidhiano ya hundi hiyo jana.

Na Hillary Shoo, IKUNGI

KAMPUNI ya uchimbaji wa Madini ya dhahabu ya Shanta mining Limited iliyopo katika kijiji cha Sambaru Kata ya Mang’onyi  Wilayani Ikungi, imekabidhi hundi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.23 kwa kikundi cha Aminika .

Msaada huo umekabidhiwa kwa bodi ya Wakurugenzi wa kikundi hicho cha Aminika jana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Shanta, Zone Swanepoel katika kijiji cha...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ifahamu Chizika, App ya kusikiliza muziki kwa simu iliyotengenezwa na watanzania

11356960_388937114632648_737681832_n

Ulimwengu wa sasa wa muziki umehamia kwenye smartphones. Kwa Ulaya na Marekani wapenzi wa muziki kwa sasa wanasikiliza zaidi nyimbo wazipendazo kwenye platform maarufu kama vile Spotify, Apple Music, Tidal na zingine.

11356960_388937114632648_737681832_n

Mtumiaji wa app hizo hufanya malipo kwa mwezi au mwaka na kuwa na uwezo wa kusikiliza mamilioni ya nyimbo. Tanzania nayo haiku nyuma.

Vijana wawili, Ali Makongo aka Young Siza na mtangazaji wa kipindi cha Daladala Beat cha Magic FM, Jimmy Jamal aka Jimmy Jay wameanzisha app...

 

10 years ago

Vijimambo

Seneta Mike Sonko kutoa Magari yake ya Bei kwa Maharusi.

Seneta wajiji la Nairobi, Mike Sonko ametangaza kutoa huduma ya bure ya usafiri kwenye harusi za wakazi wa Nairobi, Huduma hiyo aliizindua siku ya Ijumaa na Magari anayoyatoa ni pamoja na Marcedes 4 (New S Class Model),3 H2 Hummers na gari lake binafsi LandCruiser gold-plated.Seneta huyo asiyeishiwa na Vituko alisema "
Watu Wangu,
THE ESSENCE OF TRUE LEADERSHIP IS TO ADD VALUE to the lives of those you lead during your period in leadership.
I am kicking off this year by focusing more on...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mipango ya tamasha la Lady Gaga Uingereza yazinduliwa

BBC imetangaza mipango yake ya kuonYesha tamasha la Mwanamuziki Lady Gaga.

 

10 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa Times FM aporwa iPhone 6 ya dhahabu yenye thamani ya shilingi milioni 3.8

Mtangazaji wa kipindi cha The Switch cha Times FM, Cnda King ameporwa simu ya thamani kubwa ya iPhone 6 yenye dhahabu (24 karat gold plate). Cnda ambaye pia ataanza kuonekana kwenye kipindi kipya cha TV kiitwacho 10 Made in Africa, ameimbia Bongo5 kuwa simu hiyo iliporwa jana Jumapili (March 1) akiwa kwenye taa za traffic […]

 

9 years ago

Mtanzania

Minaj amtoa kaka yake jela kwa milioni 200/-

Minaji na kaka yakeNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa muziki wa hip hop nchini Marekani kutoka kundi la Young Money Records, Nick Minaj, amefanikiwa kumtoa kaka yake, Jelani Miraj, kifungoni baada ya kulipa dola 100,000 sawa na zaidi ya Sh milioni 200.

Jelani alipelekwa jela kutokana na kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12, ambapo alianza kukitumikia kifungo tangu Aprili mwaka huu, lakini msanii huyo alifanikiwa kutoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kaka yake.

Nick amekuwa akifanya makubwa kwa kaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani