Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Minaj amtoa kaka yake jela kwa milioni 200/-

Minaji na kaka yakeNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa muziki wa hip hop nchini Marekani kutoka kundi la Young Money Records, Nick Minaj, amefanikiwa kumtoa kaka yake, Jelani Miraj, kifungoni baada ya kulipa dola 100,000 sawa na zaidi ya Sh milioni 200.

Jelani alipelekwa jela kutokana na kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12, ambapo alianza kukitumikia kifungo tangu Aprili mwaka huu, lakini msanii huyo alifanikiwa kutoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kaka yake.

Nick amekuwa akifanya makubwa kwa kaka...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Asakwa kwa kumuua kaka yake

WATU wawili wamefariki dunia mkoani Morogoro katika matukio mawili tofauti likiwemo la kijana kumuua kaka yake. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Faustine Shilogile, alisema tukio hilo limetokea juzi, saa 6...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATOA POLE KWA KWA FAMILIA YA MAREHEMU CHAMPANDA, KAKA YAKE KATIBU MKUU WA TFF



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Februari 22, 2020 ametoa pole kwa familia ya Mathew Champanda  nyumbani kwa marehemu eneo la Mwanga mjini Kigoma. Marehemu Champanda   ambaye ni kaka  mkubwa wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa MiguuTanzania  (TFF), Kidao Wilfred (wa pili kulia ) alifriiki dunia  Februari 19, 2020 na anatarajiwa kuzikwa leo...

 

10 years ago

GPL

DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA

Stori: Chande Abdallah na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA  imekwisha! Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19, Rukia Ally anadaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake wa kuzaliwa, Said Ally wote wakati whga Tegeta Mivumoni, Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kijana huyo kutaka kudhibiti tabia zisizofaa za dada yake huyo, tukio lililotokea usiku wa Januari 24 mwaka huu. Rukia Ally anayedaiwa...

 

10 years ago

GPL

KAKA ADAIWA KUMTOROSHA DADA YAKE KWA MUME

Na Makongoro Oging’/Uwazi
ALLY Issa anayeishi Mombasa nchini Kenya, anadaiwa kumtorosha dada yake Hasina Issa (22)  aliyekuwa akiishi na mumewe, Baraka Ally (32), Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.Tukio hilo lilitokea siku ya mkesha wa Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’. Hasina Issa siku ya harusi yake. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Ally alisema alitoa taarifa polisi...

 

10 years ago

Michuzi

NMB yadhamini Mkutano wa Serikali za Mitaa kwa Shilingi Milioni 200

Benki ya NMB imedhamini mkutano mkuu wa serikali za mitaa (ALAT) utakaoanza tarehe 8 April mpaka Tarehe 11 April, 2015 katika katika hotel ya Kunduchi beach ya jijini Dar es Salaam.
NMB imetoa shilingi milioni 150 kwaajili ya kufanikisha mkutano huo na shilingi milioni 50 kwaajili ya ununuzi wa trekta litakalotolewa kama zawadi kwa meya (Mayors Award) na halmashauri iliyofanya vizuri katika Nyanja mbalimbali kama utawala bora na utengenezaji wa miradi ya kiuchumi.
Udhamini huo unaifanya NMB...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Watu milioni 200 kupoteza ajira kwa mlipuko wa Covid-19

Asilimia 81 ya wafanyakazi wote duniani, sawa na watu bilioni 3.3 wameathirika na janga la virusi vya corona baada ya sehemu zao za kazi kufungwa kabisa ama kwa kiasi.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA NYUMBANI KWA VICKY MT VERNON WAKATI YA MISA YA KUMUOMBEA KAKA YAKE ALIEFARIKI HUKO TANZANIA MWEZI ULIOPITA

 Mchungaji akiongoza misa ya kumuombea marehemu kaka yake na Vicky, aliefariki huko Tanzania mwezi uliopita. Hii ni kawaida ya Watanzania ukutana nyumbani kwa mfiwa kwa maomba na kutoa pole. Misa hii ilifanya nyumbani kwa Vicky huko Mt Vernon New York siku ya jumapili jioni.  Ndugu na marafiki wakiwa wamesimama wakati mchungaji akiongoza misa.Dada yake Vicky  kutoka DC akitoa shukrani mbele ya watu waliojitokeza kwenye misa hiyo kwa picha zaidi jitiririshe chini.
 
PICHA KWA HISANI YA...

 

9 years ago

Mtanzania

Stephen Brown afungwa jela kisa Nick Minaj

nicki-minajNEW YORK, Marekani

MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Stephen Brown, amejikuta akiswekwa jela miezi minne baada ya kupiga simu polisi akidai msanii mwenzake, Nick Minaj, ametaka kumuua.

Pombe zilimfanya Brown, mwenye miaka 24, apige simu kituo cha polisi na kudai mwanadada Nick Minaj alitaka kumuua, lakini polisi walipofika eneo la tukio wakamkuta akiwa peke yake amelewa.

Kutokana na kitendo hicho cha kuwasumbua polisi, Brown amehukumiwa kifungo cha jela kwa miezi minne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani