Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miradi ya milioni 64/- kutekelezwa Karagwe

SHIRIKA la Kimataifa lisilo la kiserikali la World Vision Tanzania kupitia mradi wake wa Bushangaro Area Development Program limezindua miradi ya kijamii ya thamani ya Sh milioni 64.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lamadi watumia milioni 700/- miradi ya maendeleo

KATA ya Lamadi iliyopo katika Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, imetumia sh 734,415,500 kati ya mwaka 2011 na 2014 kwa ajili ya shughuli mbalimbali za ujenzi wa miradi ya maendeleo....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jafo atoa milioni 71 kukamilisha miradi ya maendeleo

MBUNGE wa Kisarawe, mkoani Pwani, Selemani Jafo (CCM) ametoa shilingi milioni 71 kwa ajili ya kukamilisha baadhi ya miradi ya maendeleo jimboni humo ikiwemo ujenzi wa maabara unaoendelea katika shule...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watumia milioni 400/- kugharamia miradi ya kijamii

DSC00274

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua kituo cha kisasa cha polisi kata ya Mang’onyi wilaya ya Ikungi kilichojengwa na kampuni ya utafiti na uchimbaji madini ya Shanta kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 244 milioni.

DSC00272

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mang’onyi wilaya ya Ikungi kama sehemu ya uzinduzi wa mradi wa maji uliogharamiwa na kampuni ya utafiti na uchimbaji madini ya Shanta kwa gharama ya zaidi ya shilingi 126.8...

 

10 years ago

Michuzi

MWENGE KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SH. MILIONI 1.2 MUFINDI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 15 JUMLA ya miradi 13 yenye thamani ya Zaidi ya shilingi milioni 1.2 inatarajiwa kuzinduliwa pamoja na kuwekwa mawe ya msingi na Mwenge wa uhuru utakapokimbizwa katika Halmashauri ya wilaya ya Mufindi mapema alhamisi ya tarehe 25 mwezi huu.
Taarifa ya Ofisi ya habari na mawasiliano ya halmashauri ya Mufindi kwa vyombo vya habari imefafanua kuwa, vyanzo vya fedha zilizotumika kukamilisha miradi hiyo  vimegawanyika katika sehemu kuu nne, ambapo...

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI WILAYA YA MERU MKOANI ARUSHA YATUMIA MILIONI 308/_ KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO HADI KUFIKIA APRILI 15

Na Woinde Shizza ,MERU

HALMASHAURI ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha imetumia zaidi ya shilingi milioni 308 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika kipindi Cha mwaka wa fedha 2019//2020 hadi kufikia Aprili 15 mwaka huu.

Akizungumza leo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru Emmanuel Mkongo amesema kuwa halmashauri hiyo katika kuunga mkono jitihada za wananchi kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020 ilitenga kutoka katika makusanyo ya mapato ya...

 

9 years ago

Habarileo

Ahadi ya Magufuli yaanza kutekelezwa

MSAJILI wa Hazina ametoa siku 30 kuanzia jana kwa wawekezaji wote walionunua viwanda na mashamba yaliyokuwa miliki ya serikali, kuwasilisha taarifa za sasa za utekelezaji wa masharti ya mikataba yao vinginevyo, serikali itarejesha umiliki wake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya Miraa yaanza kutekelezwa

Marufuku ya utafunaji wa miraa nchni Uingereza inaanza kutekelezwa leo na kusababisha hofu ya kupoteza ajira kwa wakulima Kenya

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bajeti Maswa hatihati kutekelezwa

BAJETI ya Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu ya 2014/2015 iliyopitishwa na baraza la madiwani wa halmashauri hiyo huenda isifikie malengo kutokana na wakulima wa pamba kudai kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MRADI WA VIAZI LISHE KUTEKELEZWA MUFINDI

  HALMASHAURI ya Wilaya ya Mufindi  Mkoani Iringa ni mingoni mwa  Wilaya saba nchini, zilizochaguliwa na shirika la kimataifa linaloshughulikia mazao ya viazi (CIP) kutekeleza mradi  wa uzalishaji wa viazi lishe vyenye asilimia kubwa ya vitamini “A” ukilinganisha na  aina nyingine ya vyakula kama Mboga, Matunda na Mizizi.
Taarifa iliyotolewa na Afisa ya Habari na Mawasiliano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bw. Ndimmyake Mwakapiso, imeeleza kuwa, viazi lishe hivyo ni aina ya viazi vitamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani