Ahadi ya Magufuli yaanza kutekelezwa
MSAJILI wa Hazina ametoa siku 30 kuanzia jana kwa wawekezaji wote walionunua viwanda na mashamba yaliyokuwa miliki ya serikali, kuwasilisha taarifa za sasa za utekelezaji wa masharti ya mikataba yao vinginevyo, serikali itarejesha umiliki wake.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hmGaRwCcQgI/VlhrgFXhnYI/AAAAAAAIIoM/eidItoUVTFM/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-27%2Bat%2B5.39.59%2BPM.png)
Maagizo ya Rais Magufuli kuhusu safari za nje za watendaji wa Serikali yaanza kutekelezwa
![](http://1.bp.blogspot.com/-hmGaRwCcQgI/VlhrgFXhnYI/AAAAAAAIIoM/eidItoUVTFM/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-27%2Bat%2B5.39.59%2BPM.png)
Wizara imezielekeza Balozi zote zilizopo maeneo mbalimbali duniani kujipanga ili kushiriki kikamilifu katika kuiwakilisha Serikali kwenye mikutano yote ya kimataifa na kikanda...
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Marufuku ya Miraa yaanza kutekelezwa
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Ahadi ya milioni 50 kila kijiji yaanza kufuatiliwa
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WIZARA ya Viwanda na Biashara imeanza kupigia chapuo ahadi iliyotolewa na Rais Dk. John Magufuli wakati wa kampeni, kupeleka mgao wa Sh milioni 50 kila kijiji nchini kote.
Wizara hiyo imeshauri fedha hizo zilizoahidiwa na Rais Magufuli zipelekwe kwa wananchi mapema ili wakopeshwe waweze kuanzisha miradi.
Akizungumza Dar es Salaam jana kuhusu maadhimisho ya Siku ya Viwanda Duniani, ambayo yanatarajiwa kufanyika Novemba 20, mwaka huu, Katibu Mkuu wa wizara...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Wabunge walilia ahadi za Dk Magufuli
9 years ago
Habarileo05 Nov
Mrema amkumbusha Magufuli ahadi yake
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema amempongeza Rais Mteule, Dk John Magufuli kwa kushinda urais na kumuomba katika uongozi wake amfikirie.
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Lowassa ataka ahadi za Dk. Magufuli zipimwe
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka wananchi kulinganisha ahadi za Rais, Dk. John Magufuli na CCM kuhusu elimu.
Ameyasema hayo siku mbili baada ya Dk. Magufuli, aagize watendaji wa serikali kushughulikia utekelezaji wa sera yake ya kutoa elimu bure kuanzia Januari mwakani.
Lowassa, chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliahidi kutoa elimu bure kuanzia shule ya awali hadi...
9 years ago
Mwananchi13 Sep
Chenge ambana Magufuli ahadi ya JK Simiyu
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Wamtaka Magufuli atimize ahadi zake
9 years ago
Vijimambo16 Sep
Ahadi ya zahanati za Magufuli ukweli huu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/John-16Sept2015.png)
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, katika mikutano yake ya kampeni, ameahidi kujenga zahanati katika kila kijiji nchini, kituo cha afya katika kila kata, hospitali kila wilaya na hospitali ya rufaa kila mkoa, endapo atapata ridhaa ya kuwa rais wa awamu ya tano,...