Lowassa ataka ahadi za Dk. Magufuli zipimwe
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka wananchi kulinganisha ahadi za Rais, Dk. John Magufuli na CCM kuhusu elimu.
Ameyasema hayo siku mbili baada ya Dk. Magufuli, aagize watendaji wa serikali kushughulikia utekelezaji wa sera yake ya kutoa elimu bure kuanzia Januari mwakani.
Lowassa, chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliahidi kutoa elimu bure kuanzia shule ya awali hadi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo15 Oct
MAKADIRIO YA AHADI 10 KUBWA ZILIZOTOLEWA NA MAGUFULI NA LOWASSA KWA WAPIGA KURA
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/JE-15Oct2015.png)
Kadiri inavyoonekana, ahadi hizo zikitekelezwa kwa asilimia 100, zitafanya muujiza kwa kuibadili Tanzania kutoka katika hali duni ya upatikanaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Mbunge ataka ahadi za JK zifutwe
MBUNGE wa Viti Maalumu Rebeca Mngodo (CHADEMA), ameitaka serikali kuzifuta ahadi zote zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuomba kura mwaka 2010 kwa madai kuwa hazitekelezeki. Mngodo alitoa kauli...
11 years ago
Habarileo07 May
Mbunge ataka ahadi za Rais kutengewa mfuko maalumu
MBUNGE wa Viti Maalumu, Martha Mlata (CCM) ametaka ahadi za Rais zitengewe mfuko maalumu ili ziweze kutekelezeka kwa wakati.
10 years ago
MichuziFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili...
10 years ago
GPLFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Hoja za Dk. Slaa zipimwe
JUZI, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, alijitokeza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya takriban mwezi mmoja hivi wa ukimya, na kuibuka na zile alizodai kuwa ni vielelezo (ushahidi) juu ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili Edward Lowassa.
Katika mtindo ule ule uliozoeleka wakati akiwa Mbunge wa Karatu, Dk. Slaa alizungumza kwa ufasaha na kwa kujiamini huku akisapotiwa na nyaraka zake mwenyewe za kuthibitisha tuhuma hizo dhidi ya...
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Wabunge walilia ahadi za Dk Magufuli
9 years ago
Habarileo19 Nov
Ahadi ya Magufuli yaanza kutekelezwa
MSAJILI wa Hazina ametoa siku 30 kuanzia jana kwa wawekezaji wote walionunua viwanda na mashamba yaliyokuwa miliki ya serikali, kuwasilisha taarifa za sasa za utekelezaji wa masharti ya mikataba yao vinginevyo, serikali itarejesha umiliki wake.
9 years ago
Habarileo05 Nov
Mrema amkumbusha Magufuli ahadi yake
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema amempongeza Rais Mteule, Dk John Magufuli kwa kushinda urais na kumuomba katika uongozi wake amfikirie.