Hoja za Dk. Slaa zipimwe
JUZI, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, alijitokeza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya takriban mwezi mmoja hivi wa ukimya, na kuibuka na zile alizodai kuwa ni vielelezo (ushahidi) juu ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili Edward Lowassa.
Katika mtindo ule ule uliozoeleka wakati akiwa Mbunge wa Karatu, Dk. Slaa alizungumza kwa ufasaha na kwa kujiamini huku akisapotiwa na nyaraka zake mwenyewe za kuthibitisha tuhuma hizo dhidi ya...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Lowassa ataka ahadi za Dk. Magufuli zipimwe
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka wananchi kulinganisha ahadi za Rais, Dk. John Magufuli na CCM kuhusu elimu.
Ameyasema hayo siku mbili baada ya Dk. Magufuli, aagize watendaji wa serikali kushughulikia utekelezaji wa sera yake ya kutoa elimu bure kuanzia Januari mwakani.
Lowassa, chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliahidi kutoa elimu bure kuanzia shule ya awali hadi...
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu
BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...