MITANDAO YA KIJAMII YAZIMWA UCHAGUZI MKUU BURUNDI
Image captionWagombea saba hii leo wanawania kumrithi Pierre NkurunzizaMitandao ya kijamii imezimwa huku wananchi wakiendelea kupiga kura nchini Burundi katika uchaguzi mkuu hii leo.BBC imethibitisha kuwa mitandao ya Twitter, Whatsapp na Facebook kuwa haipatikani nchini humo.Serikali ya Burundi hata hivyo haijalizungumzia suala hilo.Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa toka saa 12 asubuhi na vitafungwa saa 10 alasiri.Wagombea saba wanawania hii leo kumrithi Pierre Nkurunziza, hata hivyo...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
MSEMAJI WA SERIKALI: Wamiliki wa Blog/mitandao ya kijamii zingatieni maadili ya upashaji habari za Uchaguzi Mkuu Okt 25
Mkurugenzi Idara ya Habari, Assah Mwambene (mwenye suti nyeusi aliyesimama-kulia) akisikiliza kwa makini mawazo na maoni yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Mkurugenzi Idara ya Habari, Assah Mwambene (kushoto) akisikiliza kwa makini maoni yaliyokuwa yakitolewa na Umoja wa Bloggers Tanzania (TBN), Kulia kwake ni Afisa wa Idara hiyo.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM]...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XHBq5drzfB4/VkiV2Z2_nwI/AAAAAAAIF7o/1RLZCL2n3zs/s72-c/Dr-Harrison-Mwakyembe.jpg)
WAZIRI MKUU ACHAGULIWI KWA KURA ZA MAONI WALA KWA MITANDAO YA KIJAMII - MWAKYEMBE
![](http://2.bp.blogspot.com/-XHBq5drzfB4/VkiV2Z2_nwI/AAAAAAAIF7o/1RLZCL2n3zs/s1600/Dr-Harrison-Mwakyembe.jpg)
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe (pichani) amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana na uteuzi utakaoidhinishwa na Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye huwasilisha jina hilo kwa Spika wa Bunge na baadaye...
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
Waziri Mkuu hachaguliwi kwa kura za maoni wala kwa mitandao ya kijamii – Mwakyembe
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Na Lilian Lundo, MAELEZO-DODOMA
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana na uteuzi utakaoidhinishwa na Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.
Dkt. Mwakyembe ambaye amewahi kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne, alisema kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, Waziri Mkuu anateuliwa na Rais ambaye...
10 years ago
Michuzi07 Dec
Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.
![](https://3.bp.blogspot.com/-oJh2Cn9yQak/VINKdRvDW8I/AAAAAAADJj4/0uJNUkCOwzk/s1600/28138-mmg24051.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-qHcmC4yyDpE/VINK3s8Ur5I/AAAAAAADJkI/sMkDVFsuX7A/s1600/l1.jpg)
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Kampeni zatawala mitandao ya kijamii
11 years ago
Mwananchi20 Jun
Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Gumzo kwenye mitandao ya kijamii
10 years ago
Habarileo05 Apr
Mitandao ya kijamii wapewa somo
WATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.