Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miti 300,000 kupandwa Mlima Kilimanjaro

Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na utunzaji wa mazingira mkoani Kilimanjaro (Teaca) limelenga kupanda miti zaidi ya 300,000 katika maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kurudisha uoto wa asili uliopotea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

UN yapanda miti mlima Kilimanjaro

MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa yaliyopo nchini yameadhimisha miaka 70 ya kuundwa kwa chombo hicho kwa kupanda miti zaidi ya 2,000 katika miteremko ya mlima Kilimanjaro.

 

9 years ago

StarTV

UN yapanda miti zaidi ya 2000 kunusuru mlima Kilimanjaro.

IMG_3361

Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na kupokelewa na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN yapanda miti zaidi 2000 kunusuru Mlima Kilimanjaro

Sikiliza kionjo cha hotuba ya Kiswahili ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez hapa chini.

IMG_3361

Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na...

 

9 years ago

GPL

UN YAPANDA MITI ZAIDI 2000 KUNUSURU MLIMA KILIMANJARO‏

Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na kupokelewa na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini,...

 

9 years ago

Michuzi

Umoja wa Mataifa waanza maadhimisho ya miaka 70 kwa kupanda miti Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira,  Mhe. Binilith Mahenge  akiwahutubia wananchi (hawapo pichani) kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed  Gharib Bilal wakati wa tukio la upandaji miti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 70 ya Ummoja wa Mataifa lilofanyika katika Kijiji cha Marua, Mkoani Kilimanjaro. Mhe. Waziri aliwaasa wananchi waliojitokeza na Watanzania kwa ujumla kulinda na kuhifadhi mazingiraMabalozi na Wakuu wa Mashirika...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim Msengi.Naibu waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa...

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

 KAMPUNI ya ACACIA inayojishughulisha na uchimbaji na utafutaji madini, imezindua kampeni ya kukusanya fedha kupitia kupanda mlima Kilimanjaro, leo Jumatatu Juni 22, 2015, ambapo fedha hizo zitakwenda kusaidia sekta ya elimu kwenye maeneo yanayozunguka migodi mitatu inayomilikiwa na kampouni hiyo ya North Mara, Bulyanhulu na Buzwagi.

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

 

10 years ago

Vijimambo

HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KILIMANJARO YAPONGEZA JITIHADA ZA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimvisha taji,mfanyabiashara mashuhuri katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Vicent Laswai mara baada ya kufanikiwa kufika katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi cheti mfanyabiashara mashuhuri,Vicent Laswai kwa niaba ya hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA ) mara baada ya kufanikiwa kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
RC Gama akikabidhi zawadi za T-shirt kutoka KINAPA kwa mke wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani