Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mito inavyorembesha sebule

Uwekaji wa vimito vidogo kwenye makochi ni mtindo ambao umekuwepo kwa muda mrefu sasa, lakini siku za hivi karibuni umeonekana kushika kasi na kupata umaarufu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pangilia sebule yako kwa mtindo huu

Katika kipengele cha mitindo na utanashati, leo tutajikita katika kuangalia mpangilio wa veranda au sebule kama inavyofahamika na wengi.

 

5 years ago

Michuzi

CHONGOLO AAGIZA POLISI KUWA CHUKULIA HATUA WATAKAOBAINIKA KUCHIMBA MCHANGA KWENYE MITO.


Meneja wa TARURA wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Leopold Runji akitoa maelezo kwa mkuu wa Wilaya hiyo ,Mhe. Daniel Chongolo kuhusu miundombinu ya barabara katika makazi ya TBA muda mfupi baada ya kutoka kukagua mito inayochimbwa mchanga
Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo wakiwa wameshuka kwenye gari na kuelekea kwenye mto salasala kuangalia namna ya kuwadhibiti wananchi wanaochimba mchanga katika mto huo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAFURIKO HAYA YA LOWASA YAKIAMISHIWA KWENYE MITO YETU TANZANIA HAKUTAKUWA NA SHIDA YA UMEME TENA

Ni asubuhi tulivu kabisa ya Jumatatu tarehe 10/8/2015.Ni siku ya kihistoria katika Taifa letu.Hii ni kwa sababu Kamanda mpambanaji na asiyechoka mzee wa Maamuzi magumu Edward Ngoyai Lowassa akiwa na mgombea mwenza Juma Duni Haji watachukua rasmi fomu za kugombea Urais kupitia UKAWA katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Timu ya wanahabari wa JF tayari iko hapa buguruni katika ofisi kuu za CUF ili kuwaletea kila kitakachojiri.Tunatarajia maanadamano haya makubwa yataanza saa 3 asubuhi hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani