Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIUNDO MBINU NDANI YA JIJI LA BONGO NI KERO ISIYO KWEPEKA

 Mvua zinazoendela bongo haya ndiyo madhara yake hii yote ni kutokana na miundo minu mibovu. Mvua zikishesha bongo hii ndiyo kero yake watu upata shida katika harakati zao za kutafuta riziki 
 Barabara zote maji habari ndiyo hiyo

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MVUA ZAZIDI KUHARIBU MIUNDO MBINU YA BARABARA


Na Abdullatif Yunus wa Michuzi TV.

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali hapa Nchini, zimendelea kuleta athari tofauti ikiwa ni pamoja uharibifu wa Miundo Mbinu ya Barabara na kusababisha adha Kwa wasafiri na wasafirishaji wa mizigo.

Ikiwa ni siku chache tangu kukatika daraja linalounganisha Barbara kuu ya Dodoma Morogoro, hali kama hiyo imejitokeza tena katika Barabara Kuu ya Lusahunga Biharamulo eneo la Nyambale, daraja dogo limepasuka kutokana na kulemewa wingi wa Maji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mvua za masika Zanzibar zasababisha vifo na uharibifu wa miundo mbinu

IMG_4180

Pichani juu na chini ni baadhi ya sehemu za Unguja zilizoathirika na mvua za masika zinazoendelea kunyesha visiwani humo.(Picha zote na Othman Maulid wa www.zanzinews.com)

Na Abdulla Ali-Maelezo Zanzibar                                        

Mvua za masika zinazoendelea kunyesha Visiwani Zanzibar zimesababisha hasara kubwa ikiwemo upotevu mali na mifugo, uharibifu wa miundombinu pamoja na kusababisha vifo vya watu.

Hayo yamweelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais...

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI MPYA WA BODI YA TTCL ATEMBELEA MIUNDO MBINU YA KAMPUNI HIYO

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Prof Tolly Mbwette, ametembelea miundo mbinu mbali mbali ya Kampuni ya simu Tanzania TCCL katika ziara yake ya kwanza ya kuifahamu vyema kampuni hiyo mara baada ya kuteuliwa kuiongoza bodi hiyo.
Katika salamu zake kwa Menejiment na Wafanyakazi, Prof Mbwette amewataka kuongeza juhudi katika kufanya kazi kwa ufanisi ili kwenda na kasi ya Serikali ya awamu ya tano sambamba na mabadiliko makubwa ya teknolojia katika Sekta ya Mawasiliano...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MIUNDO MBINU ISSA GAVU AFUNGUA MTAMBO WA KUSAFISHIA MAJI UZING'AMBWA.

 -Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu)akifungua kitambaa kama ishara ya Ufunguzi wa mtambo wa kubadilishia maji kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama huko Uzi Ng'ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu)akikinga Maji yaliobadilishwa kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama baada ya kufungua huko Uzi Ng'ambwa Wilaya ya kati...

 

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA wafanya ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundo mbinu ya maji

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Didas Mwilawi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha akisalimiana na Mwenyekiti wa wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA Christine Kilindu alipowasili eneo zinapojengwa ofisi za mradi wa bomba kuu la maji kutoka Ruvu Juu zilizopo Kibaha.Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) wakiwa wameanza ziara yao ya siku moja katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani kukagua na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA wamefanya ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundo mbinu ya maji

01

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Didas Mwilawi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha akisalimiana na Mwenyekiti wa wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA Christine Kilindu alipowasili eneo zinapojengwa ofisi za mradi wa bomba kuu la maji kutoka Ruvu Juu zilizopo Kibaha.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) wamefanya ziara ya siku moja katika mikoa ya Dar es salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani