Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mizengwe yazidi kwa waandishi bungeni

WAANDISHI wa habari wanaoripoti habari za Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini hapa wanazidi kukumbana na vikwazo, hivyo kushindwa kufanya kazi zao kwa uhuru. Kikwazo cha kwanza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waandishi ‘wapigwa zengwe’ lingine la kuwabana bungeni

Ofisi ya Bunge, imeweka utaratibu mpya kwa waandishi wa habari watakaohudhuria shughuli za Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Magufuli; umepatikana kwa mbinde iokoe CCM na fitina, mizengwe

KATIKA filamu ya Godfather III, kiongozi wa kundi la mafia, Don Michael Corleone, anaonekana anamwambia msaidizi wake Vicent Mancini, asiwachukie adui zake kwa sababu ‘inaathiri uwezo wa kuamua.’ Kama kuna somo ambalo tunaweza kujifunza kutoka Dodoma baada ya taifa kuishi kwa kimuhemuhe na kulazimika kukesha kwa siku mbili baadhi wakilala usingizi wa mang’amung’amu ili kujua kilichokuwa kikitokea katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni ukweli kwamba ‘wazee wa CCM’ ni wafuasi wazuri...

 

9 years ago

GPL

UWAZI MIZENGWE LAGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE KIBAHA

Baadhi ya wasomaji wa gazeti la Uwazi-Mizengwe, muda mfupi baada ya kununua gazeti hilo.
Mmoja wa wateja hao akichukua gazeti hilo mezani kwa muuzaji.
Msomaji akisoma kurasa za ndani za gazeti hilo.
Msomaji akiwa…

 

10 years ago

GPL

'UWAZI MIZENGWE' LAPOKELEWA KWA SHANGWE MITAANI

Msomaji wa gazeti jipya la Uwazi Mizengwe akipozi na Mr.Uwazi baada ya kukutwa akisoma gazeti hilo eneo la Ubungo.   Gazeti lenyewe la Uwazi Mizengwe.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani