Mkasi | S10E12 With Shaa
![](http://img.youtube.com/vi/la_8wcUSNDY/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Jan
9 years ago
Bongo525 Nov
Music: Shaa – Toba
![shaa (2)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/shaa-2-300x194.png)
Huu ni wimbo mpya wa Malkia wa Uswazi Shaa unaitwa “Toba” sikiliza hapa alafu toa maoni yako
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo523 Nov
New Video: Shaa – Toba
![11848880_807502319376059_2141283499_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11848880_807502319376059_2141283499_n-300x194.jpg)
Shaa ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Toba’ iliyoongozwa na Justin Campos. Itazame.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Shaa: Natamani kuimba taarabu
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Sara Kaisi ‘Shaa’ au ‘Malkia wa Uswazi’ amesema alitamani kuimba taarabu kabla ya kusambaza kazi yake ya ‘Sugua gaga’ ambayo inafanya vizuri katika...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/WIsvJYf7ihc/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/aMIH-YeQYHM/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo28 Oct
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNUkXPveWZpZsSkcJ53RKOEXt0zUDdHP2xvStQDlu3THs0pALYJ5HkgghP2PDLV1tJfgkBZZR6ixNORzC-djE*Hq/linah.jpg)
SHAA, LINAH WACHUANA KI-NUSU UTUPU
Stori: Musa Mateja
Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuana kwa kupozi kihasara mbele ya kamera. Staa wa muziki wa kizazi kipya Esterlina Sanga ‘Linah’. Ilikuwa ndani ya Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo paparazi wetu alipokuwa ‘back...
10 years ago
GPLSHAA AKIFANYA YAKE FIESTA 2014
 Msanii wa Bongo Flava, Shaa akifanya yake usiku huu kwenye tamasha la Fiesha 2014 Leaders Club, Dar.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania