Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkasi na Dr. Cheni

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Dr Cheni Ajigeuza Mwanamke!

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dokta Cheni’ kwa mara ya kwanza  ataibuka kama mwanamke katika filamu inayokwenda kwa jina la ‘ Nimekubali kuolewa’ inayotarajiwa kutoka Mei 21 mwaka huu baada ya kucheleweshwa kutoka na bodi ya filamu nchini ambayo ilikuwa na wasiwasi  nayo katika baadhi ya vipengele.

Akizungumza na gazeti la Sani, Dokta Cheni alisema kwamba filamu hiyo ni nzuri na imefanyika katika  ubora wa hali ya juu.

Aidha, alikiri kusimamishwa na bodi ya filamu na kusema...

 

11 years ago

GPL

DK. CHENI: FREEMASON WANANITESA

Stori: Brighton Masalu
MINONG’ONO na uvumi unaotambaa kwa kasi kuwa anajihusisha na taasisi ya wajenzi huru (Freemasons), unazidi kumtesa msanii wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kwa madai ya kwamba anajisikia vibaya anaponyoshewa vidole na baadhi ya wadau wa tasnia hiyo. Dk. Cheni. Mwishoni mwa wiki iliyopita, mwandishi wetu alisikia fununu kutoka kwa wadau wengi wa filamu wakiwemo...

 

10 years ago

GPL

DK CHENI ALISHWA SUMU TENA!

Stori: Imelda Mtema
Staa wa kiume wa sinema za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, kwa mara nyingine alilazwa katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar baada ya kudaiwa kula chakula kinachosadikika kuwa na sumu (poisonous food). Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’ akiwa hoi hospitalini. Akizungumza na mwandishi wetu wikiendi iliyopita Dk Cheni alisema kuwa alikuwa mshehereshaji (MC) kwenye harusi moja...

 

11 years ago

GPL

LULU AMMWAGIA DOLA DK. CHENI

Stori: Waandishi Wetu
MUIGIZAJI mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ juzikati alimsapraizi staa mwenzake wa sinema za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ pale alipomfuata mbele na kummwagia Dola za Marekani kiasi ambacho hakikujulikana mara moja. Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ akimlisha keki Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Lulu alifanya tukio hilo...

 

9 years ago

GPL

DK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU

Brighton Masalu Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu. Msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’. Madai ya uhusiano wa Lulu na Dk. Cheni yamekuwa yakienea...

 

10 years ago

GPL

DK. CHENI: NIPO KIBIASHARA ZAIDI!

Gladness Mallya WAKATI mastaa wa fani mbalimbali wakijinadi kuwaunga mkono baadhi ya wanasiasa katika kuelekea uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu, mkali wa filamu Bongo, Muhsein Awadh ‘Dk. Cheni’ ameibuka na kusema yeye yupo kibiashara zaidi kwani hana chama.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ip2xYe

 

10 years ago

GPL

MSANII AJUTIA PENZI LA DK.CHENI

Stori: Ma yasa Mariwata
MSANII wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema anajutia kitendo chake cha kumtolea nje staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ pale alipotangaza nia ya kutaka kumposa na kujiona bado mdogo. Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akipiga stori na paparazi wetu, Bozi alisema kuwa, miaka mingi iliyopita, akiwa ametoka kuchezwa unyago, mkongwe huyo...

 

11 years ago

GPL

DK. CHENI KUMPINDUA RAY UENYEKITI

Na Brighton Masalu
UAMUZI wa kujitosa kuwania nafasi ya uenyekiti wa kundi la mastaa la Bongo Muvi kwa mwigizaji Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’, umempa wakati mgumu mwenyekiti anayemaliza muda wake wa kuliongoza kundi hilo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa hofu ya kuidondosha nafasi hiyo tamu. Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’. Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani