DK CHENI ALISHWA SUMU TENA!
![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5fn8YNQaXCmkpq4m-OMDJNZyIeyTH*7UbaBKqwyCctsbEAC966P6O9fqhWi3xJLcGYTTcT-r5b8GSVejfBAX*37a/cheni.jpg)
Stori: Imelda Mtema Staa wa kiume wa sinema za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, kwa mara nyingine alilazwa katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar baada ya kudaiwa kula chakula kinachosadikika kuwa na sumu (poisonous food). Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’ akiwa hoi hospitalini. Akizungumza na mwandishi wetu wikiendi iliyopita Dk Cheni alisema kuwa alikuwa mshehereshaji (MC) kwenye harusi moja...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PDuFvn5TOvMZQG-1PwLe3KRuZEQUADEzoN-eYGOjgdHYrk3VBOc4GNALxgFKrBbuJ*0gLXVE8YzhNZj1cZDi5-ATZrrGBhKB/Jb.jpg)
JB ALISHWA SUMU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/z7xKGPrSF9AJbMHOGzoKRWw*LRRzRwpY5642t888M9BZHDTheiwhbTxYcEr6Ke2VDBB14Yg7pZ8cnQzqS7uIiihUd6w5QgxN/nabii.jpg?width=650)
NABII ALISHWA SUMU
10 years ago
Mwananchi22 Nov
Mkono alishwa sumu London
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Steve Nyerere Alishwa Sumu
STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani linakupa ripoti kamili.
Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.
“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2xPSDbl5pyjsNjH8OkiaPaiDs2x9FjqGrntU*GPNhwxKMBG*P5O6Rp459W2CEBVsFSzW-Wrb0uOUEFILPo3kYE7jwIqEtsoU/22222.jpg?width=650)
DK. CHENI KUGOMBEA TENA BONGO MOVIE
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Mwanafunzi alishwa kinyesi
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Nyakabale wilayani hapa (jina limehifadhiwa), ameamrishwa kula kinyesi chake baada ya kukutwa akijisaidia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi mkoani...
11 years ago
Habarileo19 Jan
Mtoto alishwa kinyesi na mama wa kambo!
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kupelekwa polisi baada ya kunyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga na kumlisha kinyesi chake kwa madai kuwa amejisaidia ndani ya nyumba yake.
10 years ago
Vijimambo28 Oct
10 years ago
Bongo Movies16 May
Dr Cheni Ajigeuza Mwanamke!
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dokta Cheni’ kwa mara ya kwanza ataibuka kama mwanamke katika filamu inayokwenda kwa jina la ‘ Nimekubali kuolewa’ inayotarajiwa kutoka Mei 21 mwaka huu baada ya kucheleweshwa kutoka na bodi ya filamu nchini ambayo ilikuwa na wasiwasi nayo katika baadhi ya vipengele.
Akizungumza na gazeti la Sani, Dokta Cheni alisema kwamba filamu hiyo ni nzuri na imefanyika katika ubora wa hali ya juu.
Aidha, alikiri kusimamishwa na bodi ya filamu na kusema...