Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanafunzi alishwa kinyesi

MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Nyakabale wilayani hapa (jina limehifadhiwa), ameamrishwa kula kinyesi chake baada ya kukutwa akijisaidia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi mkoani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtoto alishwa kinyesi na mama wa kambo!

MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kupelekwa polisi baada ya kunyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga na kumlisha kinyesi chake kwa madai kuwa amejisaidia ndani ya nyumba yake.

 

9 years ago

GPL

JB ALISHWA SUMU!

Na Sifael Paul Habari mbaya iliyolifikia gazeti hili imeeleza kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amenusurika kifo baada ya kudaiwa kulishwa sumu na kujikuta katika hali mbaya kiafya kabla ya kukimbizwa hospitalini.
Staa wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’. Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu wa JB, masaibu hayo yalimkuta wikiendi iliyopita akiwa… ...

 

11 years ago

GPL

NABII ALISHWA SUMU

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
SHETANI bado anajifanya haogopi, kila kukicha anasababisha. Safari hii amemjaribu mtumishi wa Mungu, Nabii Nicolas Suguye wa Kanisa la Huduma ya Neno la Upatanisho lililopo Kitunda-Kivule jijini Dar es Salaam ambapo yupo katika hali mbaya kufuatia kulishwa sumu na mtu asiyejulikana, Uwazi lina mkasa mzima. Nabii Nicolas Suguye. SIKU YA TUKIO
Taarifa zilizolifikia gazeti hili...

 

10 years ago

GPL

DK CHENI ALISHWA SUMU TENA!

Stori: Imelda Mtema
Staa wa kiume wa sinema za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, kwa mara nyingine alilazwa katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar baada ya kudaiwa kula chakula kinachosadikika kuwa na sumu (poisonous food). Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’ akiwa hoi hospitalini. Akizungumza na mwandishi wetu wikiendi iliyopita Dk Cheni alisema kuwa alikuwa mshehereshaji (MC) kwenye harusi moja...

 

9 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Alishwa Sumu

STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani  linakupa ripoti kamili.

Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.

“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkono alishwa sumu London

>Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono amelishwa sumu wakati akiwa kwenye safari ya kikazi jijini London nchini Uingereza, imeelezwa.

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Basi linalotumia kinyesi lazinduliwa

Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuchimba dhahabu kutoka kwa Kinyesi !

Amini usiamini wanasayansi nchini Marekani wameanza mikakati ya kusafisha dhahabu kutoka kwa kinyesi cha watu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani