NABII ALISHWA SUMU
![](http://api.ning.com:80/files/z7xKGPrSF9AJbMHOGzoKRWw*LRRzRwpY5642t888M9BZHDTheiwhbTxYcEr6Ke2VDBB14Yg7pZ8cnQzqS7uIiihUd6w5QgxN/nabii.jpg?width=650)
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa SHETANI bado anajifanya haogopi, kila kukicha anasababisha. Safari hii amemjaribu mtumishi wa Mungu, Nabii Nicolas Suguye wa Kanisa la Huduma ya Neno la Upatanisho lililopo Kitunda-Kivule jijini Dar es Salaam ambapo yupo katika hali mbaya kufuatia kulishwa sumu na mtu asiyejulikana, Uwazi lina mkasa mzima. Nabii Nicolas Suguye. SIKU YA TUKIO Taarifa zilizolifikia gazeti hili...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PDuFvn5TOvMZQG-1PwLe3KRuZEQUADEzoN-eYGOjgdHYrk3VBOc4GNALxgFKrBbuJ*0gLXVE8YzhNZj1cZDi5-ATZrrGBhKB/Jb.jpg)
JB ALISHWA SUMU!
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Steve Nyerere Alishwa Sumu
STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani linakupa ripoti kamili.
Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.
“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5fn8YNQaXCmkpq4m-OMDJNZyIeyTH*7UbaBKqwyCctsbEAC966P6O9fqhWi3xJLcGYTTcT-r5b8GSVejfBAX*37a/cheni.jpg)
DK CHENI ALISHWA SUMU TENA!
10 years ago
Mwananchi22 Nov
Mkono alishwa sumu London
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Mwanafunzi alishwa kinyesi
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Nyakabale wilayani hapa (jina limehifadhiwa), ameamrishwa kula kinyesi chake baada ya kukutwa akijisaidia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi mkoani...
11 years ago
Habarileo19 Jan
Mtoto alishwa kinyesi na mama wa kambo!
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kupelekwa polisi baada ya kunyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga na kumlisha kinyesi chake kwa madai kuwa amejisaidia ndani ya nyumba yake.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-4quQj03hhBs/U3ycGMVdYJI/AAAAAAAADxc/bST-ZiAiwQs/s72-c/logo%2Bcopy.jpg)
MAUL I'D YA NABII MUHAMMAD
![](http://1.bp.blogspot.com/-4quQj03hhBs/U3ycGMVdYJI/AAAAAAAADxc/bST-ZiAiwQs/s1600/logo%2Bcopy.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ftv2g4BBm_w/VJ150nkf9jI/AAAAAAAAF8c/tMhIUWr4ka4/s1600/IMG-20141226-WA0062.jpg)
Assalam Alaykum,
Jumuiya ya waislamu DMV (TAMCO) Inakujulisha kwamba Maulid ya Mfungo Sita ya TAMCO yatakuwa Sat Jan 3, 2015.Kuanzia 2pm Sharp.
Hall: Argyle Local Park1030 Forest Glen Road, Silver Spring, MD 20901
Tunaomba ukipata Taarifa hii Uwajulishe Wengine. Shukran.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2O3nDPiHpAup2lMcYZglrJE62MzZ5256i-*gOlSan2Y9ZtdxGIb5jABklrcrNFi*7hDW2awx3VxhR-fbiCqCfWr/feki.jpg?width=650)
NABII: HUYU SI YESU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PhpRQMoFW8ar449QsnL3bpSrjj5Z5VRHt6fK*lSmMz9zbEy0yUzs5wi-FhemBSPy0vj3Up3qO*nunXZXskCMi5t0thDXhgdU/NABII.jpg?width=650)
NABII: URAIS 2015 BALAA!