Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NABII: HUYU SI YESU

Stori: MAKONGORO OGING’
Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo amesema picha ya Yesu Kristo inayotumiwa na baadhi ya madhehebu ya Kikrito duniani siyo ya mwokozi huyo wa roho za watu. Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo mwenye kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha. Nabii huyo ambaye ana kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha aliyasema hayo hivi karibuni kupitia kituo kimoja cha runinga nchini. Alisema watu wengi katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NABII ALISHWA SUMU

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
SHETANI bado anajifanya haogopi, kila kukicha anasababisha. Safari hii amemjaribu mtumishi wa Mungu, Nabii Nicolas Suguye wa Kanisa la Huduma ya Neno la Upatanisho lililopo Kitunda-Kivule jijini Dar es Salaam ambapo yupo katika hali mbaya kufuatia kulishwa sumu na mtu asiyejulikana, Uwazi lina mkasa mzima. Nabii Nicolas Suguye. SIKU YA TUKIO
Taarifa zilizolifikia gazeti hili...

 

10 years ago

Vijimambo

MAUL I'D YA NABII MUHAMMAD


Assalam Alaykum,
Jumuiya ya waislamu DMV (TAMCO) Inakujulisha kwamba Maulid ya Mfungo Sita ya TAMCO yatakuwa Sat Jan 3, 2015.Kuanzia 2pm Sharp.
Hall: Argyle Local Park1030 Forest Glen Road, Silver Spring, MD 20901
Tunaomba ukipata Taarifa hii Uwajulishe Wengine. Shukran.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yesu alizaliwa wakati gani?

“TAREHE mahsusi na muafaka ambayo  Yesu Kristo alizaliwa haijulikani,” kinasema kitabu cha Encyclopedia of Early Christianity. Hata hivyo, mamilioni ya watu ulimwenguni husherehekea kuzaliwa kwa Yesu  Desemba 25. Lakini tarehe hiyo...

 

11 years ago

GPL

YESU FEKI AITIKISA DUNIA

Stori: Jelard Lucas na Mtandao
SHETANI bado anazidi kuwasakama Wakristo duniani. Hii ni baada ya mkazi wa Kijiji cha Alvaro Thesiss, Santa Catarina nchini Brazil, Mtume Inri Cristo (66) mwanzilishi wa Kanisa la Waraka Mweusi (Suprema Ordem Universal da Santíssima Trindade ‘Soust’), miaka 35 iliyopita kujitangaza kuwa yeye ni Yesu Kristo amerudi kuja kuwaokoa wanadamu baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi. Mtume...

 

9 years ago

GPL

NABII ATANGAZA VITA NA MAHAWARA

MAKUBWA! Nabii wa Kanisa la New Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera ametoa kali ya mwaka kwa kusema atapambana na watu wanaoishi bila ndoa ‘mahawara’ ili kuhakikisha wanafunga ndoa. Nabii wa Kanisa la New Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera akiwabariki wanandoa hao. Nabii huyo aliwafungisha ndoa waumini wake 20 huku akisema alichowataka wao ni kununua shela (gauni la bi harusi) tu...

 

10 years ago

GPL

NABII: URAIS 2015 BALAA!

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
NABII wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera amesema uchaguzi mkuu ujao utakuwa balaa kubwa kufuatia maono anayoyaona wakati akishiriki ibada katika nyakati mbalimbali, Risasi Jumatano linakupa mkanda kamili. Nbii wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera. Akizungumza wakati wa ibada kanisani kwake na baadaye na...

 

10 years ago

GPL

NABII: EBOLA HAUTAINGIA TANZANIA

Makala: Elvan Stambuli Safu hii leo inahojiana na Nabii Yasp P. Bendera  ambaye ana kanisa lake lililopo Yombo Buza Dar. Amekuwa akihudumia watu kwa miaka mitatu sasa.
Anadai aliwahi kutabiri ugonjwa wa dengue kutokea hapa nchini na akatoa dalili, ukaingia , akatabiri mafuriko yakatokea na pia alitabiri kuhusu ugonjwa wa ebola lakini akasema Tanzania haujaingia.
Alisema ebola haitaingia Tanzania ikiwa Watanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, Yesu Kristo wa Nazareti alikuwa mwanasiasa?

Baada ya tafakuri ya Pasaka, watu wengi wameniandikia maoni na kutaka niendeleze makala ile. Nimeamua kuindeleza kwa namna nyingine kwa tafakuri zaidi. Juu ya mada hii: Je, Yesu Kristo wa Nazareti alikuwa mwanasiasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani