YESU FEKI AITIKISA DUNIA

Stori: Jelard Lucas na Mtandao SHETANI bado anazidi kuwasakama Wakristo duniani. Hii ni baada ya mkazi wa Kijiji cha Alvaro Thesiss, Santa Catarina nchini Brazil, Mtume Inri Cristo (66) mwanzilishi wa Kanisa la Waraka Mweusi (Suprema Ordem Universal da SantÃssima Trindade ‘Soust’), miaka 35 iliyopita kujitangaza kuwa yeye ni Yesu Kristo amerudi kuja kuwaokoa wanadamu baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi. Mtume...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
uzushi wa kifo feki cha muigizaji Will Smith watikisa dunia
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Mwashiuya aitikisa Mbozi
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Magufuli aitikisa Muhimbili
*Uongozi wahaha siku za mapumziko
* Sefue leo kufanya ukaguzi, kufuatilia maagizo
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
UAMUZI wa Rais Dk. John Magufuli kumng’oa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk. Hussein Kidanto, umesababisha wafanyakazi wa hospitali hiyo na viongozi wao kufanya kazi hadi siku za mapumziko.
Hatua hiyo imekuja wiki chache baada ya Dk. Magufuli, kufanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo, Novemba 9 ikiwa ni ziara yake ya pili baada ya ile...
10 years ago
GPLMAGUFULI AITIKISA DAR LEO
10 years ago
Vijimambo
KINANA AITIKISA CHADEMA KWIMBA
Mwenyekiti wa Kijiji kutoka Chadema ajiuzulu nakujiunga na CCM


10 years ago
Dewji Blog03 Aug
Bonny Mwaiteje aitikisa Diamond Jubilee
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili Bonny Mwaitege akiimba katika uzinduzi wa albam zake kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana, uzinduzi ambao ulihudhuriwa na maelefu ya wapenzi wa muziki wa ijini akishirikiana na waimbaji mbalimbali wa muziki huo ikiwa ni pamoja na baadhi ya kwaya kutoka katika baadhi ya makanisa ya jijini Dar es salaam, Bonny Mwaiteje alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa ikwango kikubwa huku akiwa amevalia vazi la Kingigeria wakati akiwa jukwaani,...
10 years ago
GPL
MAGUFULI AITIKISA MWANZA, HAIJAWAHI TOKEA!
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Bella aitikisa DARLIVE usiku wa nani kama Mama
Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ akifanya yake usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Nyomi ya mashabiki walijitokeza katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
Madansa wa Malaika Music bendi wakifanya yao.
Mashabiki wakicheza na Christian Bella ‘Obama’.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo ya mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ (hayupo pichani).
Christian...