KINANA AITIKISA CHADEMA KWIMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-HRsroybOikc/VYpyZh-aYII/AAAAAAAAfcE/vKNG-S9RnRk/s72-c/1.jpg)
Mwenyekiti wa Kijiji kutoka Chadema ajiuzulu nakujiunga na CCM Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kwimba Ndugu Petro Ngh'ingi wakati wa mapokezi kwenye kijiji cha Mwamaya kata ya Hungumalwa Pichani kati ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kwimba Bi.Tabu Lugwesa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Hilan Mansoor wakati wa mapokezi kwenye kijiji cha Mwamaya kata ya Hungumalwa wilaya ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CigJpKZEpUs/VYpyaj-s1gI/AAAAAAAAfcM/2mkEw7xIfhk/s72-c/2.jpg)
KINANA KWIMBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CigJpKZEpUs/VYpyaj-s1gI/AAAAAAAAfcM/2mkEw7xIfhk/s640/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-E9dgpwzvIgM/VYpybwskSRI/AAAAAAAAfcU/LkEEb0ajbq0/s640/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kX3YULFIwog/VYpyc6mHwZI/AAAAAAAAfcY/g1DNFnDjupE/s640/6.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jzSHIcm8MW8/VYpyyqQ_OBI/AAAAAAAAfdE/AtzVrKdbMyE/s640/16.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Ziara ya Kinana katika jimbo la Sumve wilayani Kwimba
![](http://4.bp.blogspot.com/-GAmf78p6AJY/VYws_KB-zaI/AAAAAAAAfoc/V-Ns2i79qkI/s640/1.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo juu ya usindikaji wa alizeti kwenye kikundi cha ujasiriamali cha KIBUKU kilichopo kata ya Lyoma ,jimbo la Sumve wilaya ya Kwimba.
![](http://1.bp.blogspot.com/-cO1_CpNgNu0/VYwta_XMBmI/AAAAAAAAfrU/xW_8U-RyHuI/s640/6.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kata ya Lyoma mara baada ya kujionea maendeleo ya kikundi cha Ujasiriamali kinachojishughulisha na usindikaji wa Alizeti.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Mx6HHHj3Fgs/VYwtcGhNWBI/AAAAAAAAfrg/jWa_lTv65Ho/s640/8.jpg)
Wananchi wa Kata ya malya wakionyesha Bango kubwa lenye ujumbe kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/8VlKHxnkg94/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WMpXyf4kvZg/VYrcFjwTRLI/AAAAAAAC7Zo/qZf441uB8YU/s72-c/7.jpg)
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-WMpXyf4kvZg/VYrcFjwTRLI/AAAAAAAC7Zo/qZf441uB8YU/s640/7.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-zmbaugUYgZQ/VYrcFNl0ZjI/AAAAAAAC7Zc/cJ-kKe-27Ug/s640/6.jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Komredi Kinana alakiwa kwa shamra shamra za sungusungu jimbo la Kwimba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi wa Jadi cha Sungusungu, alipowasili katika Kijiji cha Hungumalwa njaia panda ya Mwamashinga alipoanza ziara Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Komredi Kinana akivishwa kofia ya jadi ya Sungusungu wakati wa mapokezi wilayani Kwimba.
10 years ago
GPLKOMREDI KINANA ALAKIWA KWA SHAMRA SHAMRA ZA SUNGUSUNGU JIMBO LA KWIMBA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RIryMEqSt_U/VYmn786lRLI/AAAAAAAC7Xg/H67iMyved_U/s72-c/2.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MISUNGWI,KESHO KUVAMIA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-RIryMEqSt_U/VYmn786lRLI/AAAAAAAC7Xg/H67iMyved_U/s640/2.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana,Leo aliendelea na ziara yake katika jimbo la Misungwi linaloongozwa na Mh. Charles Kitwanga ambaye pia ni naibu Waziri wa Nishati na Madini akitembelea maeneo...
10 years ago
Michuzi10 Oct
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Kinana awarushia kombora viongozi wa Chadema
NA ELIYA MBONEA, KARATU
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ameanika ufisadi ulioko katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Akihutubia wananchi katika Viwanja vya Mazingira mjini hapa jana, Kinana alisema viongozi wa halmashauri hiyo wameshindwa kuwaletea maendeleo wananchi, ingawa wamekuwa wakilaumu Serikali ya CCM kwamba haiwaletei maendeleo wananchi wake.
“Nyinyi mliochagua Chadema sijui...