Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aitikisa Muhimbili

John+Magufuli+PHOTO*Uongozi wahaha siku za mapumziko

* Sefue leo kufanya ukaguzi, kufuatilia maagizo

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

UAMUZI wa Rais Dk. John Magufuli kumng’oa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk. Hussein Kidanto, umesababisha wafanyakazi wa hospitali hiyo   na viongozi wao kufanya kazi hadi  siku za mapumziko.

Hatua hiyo imekuja wiki chache baada ya Dk. Magufuli, kufanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo, Novemba 9 ikiwa ni ziara yake ya pili baada ya ile...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAGUFULI AITIKISA DAR LEO

Mhe Magufuli akionesha fomu za kugombea urais mwaka 2015 na Mgombea mwenza, Samiah Suluhu (kulia) wakiwa nje ya Ofisi za NEC mara baada ya kuchukua fomu. Wagombea hao wakiwa njiani kuelekea Ofisi za CCM zilizopo Barabara ya Lumumba, Dar.…

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AITIKISA MWANZA, HAIJAWAHI TOKEA!

Njemba mmoja akipiga push up wakati msafara wa Dk Magufuli ukipita. Dada akimfagilia njia Magufuli Afande akimtoa barabarani mdada aliyekuwa akifagia barabara ili Magufuli apite pakiwa safi.…

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AITIKISA KATAVI, PINDA AMNADI KWA KISHINDO

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi jana.    Waziri Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika jioni ya leo kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AITIKISA KATAVI,WAZIRI MKUU PINDA AMNADI KWA KISHINDO.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.

Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

 Waziri Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika jioni ya leo kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani humo...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli aifumua Muhimbili

04-IMG_7712*Amng’oa mkurugenzi mkuu, avunja bodi

*Asononeshwa wagonjwa kulala chini

 

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS John Magufuli, amemng’oa Kaimu Mkurugenzi wa Hopitali ya Taifa Muhimbili, Dk. Hussen Kindato pamoja na kuvunja bodi ya wakurugenzi wa hospitali hiyo.

Hatua hiyo ameichukua jana baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo, ambapo alipofika alikagua maeneo yote, kutembelea wodi na kushuhudia idadi kubwa ya wagonjwa wakiwa wamelala chini kwa kukosa vitanda.

Taarifa...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli ashusha rungu Muhimbili

RAIS Dk John Magufuli ameanza kudhihirisha kuwa serikali yake haitakuwa na simile kwa watendaji wazembe baada ya jana kuivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) pamoja na kumuondoa madarakani Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali hiyo, Dk Hussein Kidanto.

 

9 years ago

Habarileo

Rais Magufuli asikika, MRI Muhimbili yatengamaa

MASHINE ya MRI iliyokuwa imeharibika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), sasa imeanza kufanya kazi baada ya kukamilika kwa matengenezo yake. Utengenezaji wa mashine hiyo ni utekelezaji wa amri ya Rais John Magufuli aliyoitoa kwa uongozi mpya wa MNH aliouteua, baada ya kutembelea hospitali hiyo hivi karibuni.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli atimua bosi, avunja bodi Muhimbili

Rais John Magufuli jana alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ambako alishuhudia utoaji mbovu wa huduma na kuchukua hatua ya kuvunja Bodi ya Wakurugenzi ya hospitali hiyo na kumuondoa Kaimu Mkurugenzi wake, Dk Hussein Kidanto.

 

9 years ago

GPL

RAIS MAGUFULI ATINGA MUHIMBILI GHAFLA, AONGEA NA WAGONJWA

Rais Dk. Magufuli akiingia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo. Rais Dk. Magufuli akiongea na wagonjwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli leo amefanya ziara nyingine ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa. Akiwa hospitalini hapo, Rais Magufuli alipata fursa ya kuongea na wagonjwa. Awali Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya Agha Khan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani