Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NABII: EBOLA HAUTAINGIA TANZANIA

Makala: Elvan Stambuli Safu hii leo inahojiana na Nabii Yasp P. Bendera  ambaye ana kanisa lake lililopo Yombo Buza Dar. Amekuwa akihudumia watu kwa miaka mitatu sasa.
Anadai aliwahi kutabiri ugonjwa wa dengue kutokea hapa nchini na akatoa dalili, ukaingia , akatabiri mafuriko yakatokea na pia alitabiri kuhusu ugonjwa wa ebola lakini akasema Tanzania haujaingia.
Alisema ebola haitaingia Tanzania ikiwa Watanzania...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NABII YASPI BENDERA ATINGA GLOBAL, ATOA UTABIRI KUHUSU UGONJWA WA EBOLA

Nabii Yaspi Paul Bendera akiwa katika studio za Global TV Online kabla ya mahojiano. Nabii Yaspi akijibu maswali ya wanahabari wa GPL (hawapo pichani), mbele ya kamera za Global TV…

 

11 years ago

GPL

NABII: HUYU SI YESU

Stori: MAKONGORO OGING’
Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo amesema picha ya Yesu Kristo inayotumiwa na baadhi ya madhehebu ya Kikrito duniani siyo ya mwokozi huyo wa roho za watu. Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo mwenye kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha. Nabii huyo ambaye ana kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha aliyasema hayo hivi karibuni kupitia kituo kimoja cha runinga nchini. Alisema watu wengi katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAUL I'D YA NABII MUHAMMAD


Assalam Alaykum,
Jumuiya ya waislamu DMV (TAMCO) Inakujulisha kwamba Maulid ya Mfungo Sita ya TAMCO yatakuwa Sat Jan 3, 2015.Kuanzia 2pm Sharp.
Hall: Argyle Local Park1030 Forest Glen Road, Silver Spring, MD 20901
Tunaomba ukipata Taarifa hii Uwajulishe Wengine. Shukran.

 

11 years ago

GPL

NABII ALISHWA SUMU

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
SHETANI bado anajifanya haogopi, kila kukicha anasababisha. Safari hii amemjaribu mtumishi wa Mungu, Nabii Nicolas Suguye wa Kanisa la Huduma ya Neno la Upatanisho lililopo Kitunda-Kivule jijini Dar es Salaam ambapo yupo katika hali mbaya kufuatia kulishwa sumu na mtu asiyejulikana, Uwazi lina mkasa mzima. Nabii Nicolas Suguye. SIKU YA TUKIO
Taarifa zilizolifikia gazeti hili...

 

10 years ago

Michuzi

EBOLA HAITADHURU UTALII TANZANIA- SAFARI HUB YAWAHAKIKISHIA WAPENZI WA TANZANIA

Na Freddy Macha, LondonWatalii na wageni Tanzania wamehakikishiwa kwamba kasheshe ya Ebola inayousakama uwanda wa magharibi ya bara haitaidhuru Bongo. Akizungumza nami katika ofisi ya kampuni ya Safari Hub yenye makao makuu Arusha na London, Mkurugenzi, Navraj Hans alisema ingawa kitakwimu idadi ya watalii barani imeshuka kwa asilimia 50 hakuna haja ya kuhaha. “Ebola inasambaa kirahisi zaidi kuelekea Ulaya kutoka Afrika Magharibi kuliko kuja kwetu. Sisi tuko mbali sana.” Bwana Hans ambaye...

 

9 years ago

GPL

NABII ATANGAZA VITA NA MAHAWARA

MAKUBWA! Nabii wa Kanisa la New Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera ametoa kali ya mwaka kwa kusema atapambana na watu wanaoishi bila ndoa ‘mahawara’ ili kuhakikisha wanafunga ndoa. Nabii wa Kanisa la New Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera akiwabariki wanandoa hao. Nabii huyo aliwafungisha ndoa waumini wake 20 huku akisema alichowataka wao ni kununua shela (gauni la bi harusi) tu...

 

10 years ago

GPL

NABII: URAIS 2015 BALAA!

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
NABII wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera amesema uchaguzi mkuu ujao utakuwa balaa kubwa kufuatia maono anayoyaona wakati akishiriki ibada katika nyakati mbalimbali, Risasi Jumatano linakupa mkanda kamili. Nbii wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera. Akizungumza wakati wa ibada kanisani kwake na baadaye na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa na Magufuli, nabii hakubaliki nyumbani

UKIONA nabii anakubalika nyumbani, anasifiwa na kupongezwa, ujue huyo hafanyi kazi zake za kinabi

Privatus Karugendo

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba, nabii asiyekubalika kwao

Profesa Ibrahim Lipumba hatanii, anautaka urais. Tangu alipojitokeza kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu mwaka 1995 na kushika nafasi ya tatu, amekuwa hakosekani kwenye karatasi ya mpigakura katika kila uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani