JB ALISHWA SUMU!

Na Sifael Paul Habari mbaya iliyolifikia gazeti hili imeeleza kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amenusurika kifo baada ya kudaiwa kulishwa sumu na kujikuta katika hali mbaya kiafya kabla ya kukimbizwa hospitalini. Staa wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’. Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu wa JB, masaibu hayo yalimkuta wikiendi iliyopita akiwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
NABII ALISHWA SUMU
10 years ago
GPL
DK CHENI ALISHWA SUMU TENA!
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Steve Nyerere Alishwa Sumu
STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani linakupa ripoti kamili.
Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.
“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...
10 years ago
Mwananchi22 Nov
Mkono alishwa sumu London
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Mwanafunzi alishwa kinyesi
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Nyakabale wilayani hapa (jina limehifadhiwa), ameamrishwa kula kinyesi chake baada ya kukutwa akijisaidia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi mkoani...
11 years ago
Habarileo19 Jan
Mtoto alishwa kinyesi na mama wa kambo!
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kupelekwa polisi baada ya kunyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga na kumlisha kinyesi chake kwa madai kuwa amejisaidia ndani ya nyumba yake.
9 years ago
Global Publishers03 Jan
Sumu ya ndoa
MAANA YA NDOA, SUMU YA NDOA
Yaliyomo..
1. Kutotekeleza ahadi.
2. Maneno ya kashfa na matusi.
3.Ubinafsi.
4.Kusikiliza maneno ya nje.
5.Kutowajibika kwa wanandoa na mengineyo
(www.harriskapiga.com)
Tel: 0765 005 005
11 years ago
Mwananchi29 Sep
Sumu ya rasimu
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Sumu ya usomi