Dr Cheni Ajigeuza Mwanamke!
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dokta Cheni’ kwa mara ya kwanza ataibuka kama mwanamke katika filamu inayokwenda kwa jina la ‘ Nimekubali kuolewa’ inayotarajiwa kutoka Mei 21 mwaka huu baada ya kucheleweshwa kutoka na bodi ya filamu nchini ambayo ilikuwa na wasiwasi nayo katika baadhi ya vipengele.
Akizungumza na gazeti la Sani, Dokta Cheni alisema kwamba filamu hiyo ni nzuri na imefanyika katika ubora wa hali ya juu.
Aidha, alikiri kusimamishwa na bodi ya filamu na kusema...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI
Mgeni rasmi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akihutubia kabla ya kukabidhi tuzo. Na Luqman Maloto Mwanamke wa…
11 years ago
GPLMWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR
Umati wa watu ukiwa unashangaa kitendo cha mwanadada (kushoto mwenye kitambaa cha zambarau kichwani) aliyemkwapulia 20,000 mwenzake. Wengine wakitaka apigwe kama mwizi, wengine wakiomba asamehewe.…
11 years ago
Vijimambo28 Oct
11 years ago
GPL
DK. CHENI: FREEMASON WANANITESA
Stori: Brighton Masalu
MINONG’ONO na uvumi unaotambaa kwa kasi kuwa anajihusisha na taasisi ya wajenzi huru (Freemasons), unazidi kumtesa msanii wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kwa madai ya kwamba anajisikia vibaya anaponyoshewa vidole na baadhi ya wadau wa tasnia hiyo. Dk. Cheni. Mwishoni mwa wiki iliyopita, mwandishi wetu alisikia fununu kutoka kwa wadau wengi wa filamu wakiwemo...
11 years ago
GPL
CHENI AIKUMBUKA KAOLE, KUIRUDISHA!
Stori: Shani Ramadhani
MWENYEKITI Msaidizi wa Bongo Movie Unity, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ amesema amekumbuka na kutamani kurudisha Kundi la Sanaa ya Maigizo la Kaole ‘Kaole Sanaa Group’ liwe na nguvu kama zamani. Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’. Dk. Cheni alisema japo kundi hilo limeonekana kupoteza mvuto wake wa awali, lakini anaamini wasanii wengi wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya filamu...
11 years ago
GPL
USHOGA WA DK.CHENI HUU HAPA
Stori: Brighton Masalu
SIKU chache baada ya Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) kuzuia filamu ya mkongwe katika sinema za Kibongo, Mahsein Awadh Said ‘Dk. Cheni’ ijulikanayo kwa jina la Nimekubali isiingie sokoni kwa madai kuwa imekiuka maadili ya Kitanzania, msanii huyo ameibuka na kueleza kinagaubaga, Risasi Jumamosi limenasa sauti yake. Akizungumza na mwandishi wetu Jumatano ya wiki hii maeneo ya Mlimani City jijini...
10 years ago
GPL
DK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU
Brighton Masalu Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu. Msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’. Madai ya uhusiano wa Lulu na Dk. Cheni yamekuwa yakienea...
11 years ago
GPL
LULU AMMWAGIA DOLA DK. CHENI
Stori: Waandishi Wetu
MUIGIZAJI mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ juzikati alimsapraizi staa mwenzake wa sinema za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ pale alipomfuata mbele na kummwagia Dola za Marekani kiasi ambacho hakikujulikana mara moja. Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ akimlisha keki Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Lulu alifanya tukio hilo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania