DK. CHENI: FREEMASON WANANITESA
Stori: Brighton Masalu MINONG’ONO na uvumi unaotambaa kwa kasi kuwa anajihusisha na taasisi ya wajenzi huru (Freemasons), unazidi kumtesa msanii wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kwa madai ya kwamba anajisikia vibaya anaponyoshewa vidole na baadhi ya wadau wa tasnia hiyo. Dk. Cheni. Mwishoni mwa wiki iliyopita, mwandishi wetu alisikia fununu kutoka kwa wadau wengi wa filamu wakiwemo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
11 years ago
GPLMAASKOFU, FREEMASON...
10 years ago
GPLMADAHA AVUTIWA NA FREEMASON
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
Madaha :Nawazimikia Freemason!!!
Mwanamuziki na mwigizaji wa filamu, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya aina yake baada ya kusema anavutiwa na taasisi huru ya imani ya Freemason kutokana na umakini mkubwa walionao kwenye kazi zao.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Baby alisema watu wengi wamekuwa wakizungumza kwa mitazamo tofauti kuhusiana na Freemason lakini kiuhalisia, watu wa imani hiyo ni makini wanaojitambua na kujiheshimu.
“Hawa jamaa kiukweli siyo wa kuchezewa kabisa, lakini ukweli tu ni kwamba nawazimikia mno na...
10 years ago
GPLKOVA AHUSISHWA NA FREEMASON
10 years ago
TheCitizen22 Aug
How I became a Freemason: The boss speaks out
10 years ago
GPLSKENDO YA FREEMASON YAMGANDA WOLPER
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Kiongozi wa Freemason aelezea alivyochumbia
11 years ago
Habarileo16 Jun
Imani ya freemason yaleta tafrani
IMANI potofu ya kuunganishwa na dini inayodaiwa kuabudu shetani (Freemason) nusura ivuruge kazi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) ya kuandikisha majina ya kaya masikini, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida.